Swali ambalo Hayati Mwalimu Nyerere aliulizwa na wazungu akajibu kisanii matokeo yake tunayaona sasa

Swali ambalo Hayati Mwalimu Nyerere aliulizwa na wazungu akajibu kisanii matokeo yake tunayaona sasa

Hiyo falsafa kubwa sana ni ipi hapo?

Nilichokiona mimi ni kwamba Nyerere alitumia tu common sense ya kawaida ambayo mtu mwingine yeyote mwenye akili za kawaida, naye angesema vivyo hivyo, pengine labda kwa kutumia maelezo na mfano tofauti lakini maudhui yakawa ni yaleyale.

Mporaji yeyote wa mali ya mtu hana haki ya kumpangia chochote huyo aliyempora hiyo mali yake.

Hicho ndicho Nyerere alichokisema, kimsingi.

Utamporaje mtu koti lake halafu uanze kumpangia mambo kuhusu hilo koti?

Wewe mporaji hukuwa na huna haki ya kumpora mtu mali yake.

To me that’s just basic common sense. I don’t see it as being a big time philosophical idea.

Just a basic moral compass issue.

However, the example he [Nyerere] gave was very easy for anybody to understand.
Watu wengi wakiulizwa maswali kama hayo huwa hawajui ku reject the premise.

Kungekuwa na temptation ya kuonesha kuwa tumejiandaa, tutaweza. Nyerwre angeweza jusema tupo tuliosoma nje tutaongoza nabkusomesha wengine. Lakini hakusema hivyo.

Nyerere rejected the legitimacy of the question.

Ukiielewa hiyo falsafa, ni jambo dogo lakini la msingi sana.

Usipoielewa, ndiyo mpaka mwaka huu 2024 unaona watu wanajiuliza wanashindwa kuelewa. Wengine mpaka leo bado hawamuelewi Nyerere.

Ni falsafa kubwa iliyowapita wasioielewa, halafu ni ndogo sana kwa wanaoielewa.

Ni kama wewe unavyoweza kuona kusema sentensi ya Kiingereza ni kitu kidogo sana, kwa sababu unakijua. Lakini kwa asiyekijua, ni kitu kigumu.

Kuna siku nilikuwa nawaelezea watu, wengine supposedly wasoni kabisa, the logic of elimination method katika kupata majibu ya hesabu. Wale watu wengine walikuwa hawanielewi kabisa. Narudia kwa mfano wa jinsi unavyoweza kufanya elimination ku converge kwenye jibu kutafuta jibu la square root, wale watu wengine bado walikuwa hawanielewi.

Mpaka leo najiuliza, kwa nini watu wengine wanakuwa na shida sana kuelewa mantiki ndogo tu kwangu, halafu wengine wanaelewa kwa urahisi kabisa.
 
Kanyerere nako kalikua kasanii sometime ndio matokeo haya tunayashahudia kwenye ccm yake
Wewe unategemea wazungu wamwambie kuwa mpo tayari kwa uhuru? Yani mtu unayetaka kumpokonya rasilimali zako arudishe kirahisi. Nyerere alikuwa na akili nyingi na amelijibu vizuri kwelikweli. Hakuna siku ambayo tungekuwa tayari. Koti linatukaa vizuri halikai vizuzi ilikuwa ni lazima tulivae kwani ni letu.
 
Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.

Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.

Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.

Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.

Huyu Nyerere kaacha viwanda kibao tu, na mashirika ya kutosha. Hao waliokuja baadae ndiyo walikuwa wasanii.
 
Haya ungayasema hiyo miaka hamsini iliyopita labda unge eleweka. Sasa hivi Taarifa watu wanazo.

Wazungu ni makatili na neio mashetani makubwa kuwagi kutembea hapa Duniani.

Kumbuka, walitesa, walibaka, waliua, waliiba, na walileta magonjwa ya zinaa. Mwombe mungu haya yasiwatokee watoto zako, wajukuu zako. Wateswe wabakwe wauwawe na wapate magonjwa ya zinaa. Na ikiwatokea wasifu wazungu.

Mtu mwenye mental faculties hawezi kuwa na mawazo ama anafikiria kutawaliwa.

You guys are just bigots racist twaats. Online Terrorists.

😂😂😂😂😂 How do yo feel knowing that there is absolutely nothing you can do about it? 😂😂😂

Muendelee vivyo hivyo na upuuzi wenu.

Africa is for Africans.
walikuibia nini? Walimbaka nani? Waliletaje ugonjwa wa zinaa hapa Tanganyika? waliuletaje?
 
Unajua watanzania tulianza kuvaa viraka kipindi cha Nyerere?
Hivyo viraka vimeisha? Na rasilimali wakati huu zinachukuliwa kwa fujo tofauti na wakati huo kuna jipya. Kulikuwa na ginery kibao zinazalisha mafuta.
 
SWALI: Nafikiri kuna kama matatizo mawili yanayoikabili Afrika, na hilo ni pengo kati ya mfumo wa kisiasa wa taifa la kisasa na kiwango cha hali ya juu cha ustadi wa kiteknolojia na kiuchumi kinachohitajika katika kutengeneza taifa. Na nafikiri watu wanapozungumzia uhuru kuja haraka sana hawamaanishi kabisa kuwa watu hawako tayari kujitawala. Wanajiuliza, je, wana baadhi ya ujuzi na vifaa muhimu kufanya vizuri tunapoondoka?

NYERERE: Jibu halisi ni kuwa swali hilo halihitajiki kuwepo kabisa na ikiwa umeingia ndani ya nyumba yangu na kuiba koti langu usiniulize kama niko tayari kwa ajili ya koti langu, hilo koti lilikuwa langu. Haukuwa na haki yoyote ya kuchukua kutoka kwangu. Ndiyo, lakini inachukua muda mrefu, inaweza kuchukua muda mrefu kwenda katika mahakama kuu na kukata rufaa na kupata yote haya hadi nipate koti langu tena lakini huna haki yoyote ya kuniuliza kama nilikuwa tayari kwa ajili ya koti langu. Mfumo wa ikiwa, kweli naweza kuonekana vizuri katika koti langu ninapolivaa ni tofauti. Naweza nisiwe na sura nzuri nikiwa nalo kama wewe ulivyo nalo, lakini ni langu....

=====

Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.

Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.

Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.

Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa
 
Kabisa ..swali lilikuwa la kushusha spirit ya Nationalism kabisa .
Huwezi uliza swali ka hilo kwa mpigania uhuru .

Mugabe angewatukana.
He he. Walijibiwa ipasavyo.
Huyu aliyeleta huu mjadala, ndio mtukanaji mkubwa hapa. Pamoja na aliouliza maswali awali.
 
Katika uongozi wake wote Mwalimu nyerere hajawahi kuwa na maamuzi yake mwenyewe binafsi bila kufanyiwa na wazungu, kuanzia kabla ya Uhuru mpaka alipokufa.

Sifahamu kwanini hilo linafichwa?

Nyerere katika masharti ya kupooewa uongozi ilikuwa ni lazima afanye kazi zake chini ya mzungu, akipenda sipende. Aliwekewa mwanamke wa kizungu aitwae Joan Wickens kwa muda wote wa uongozi wake, hakuna hotuba ya Nyerere ambayo huyto mwanamke hajaipitia na hakuna maamuzi yoyote ya Nyerere ambayo huyo mwanamke hajayapitia.

Hata alivyokuja Malkia wa Uingereza kuitembelea Tanzania alikuwa na maongezi ya wazi na yasiyo ya wazi na Joan Wickens.
 
Katika uongozi wake wote Mwalimu nyerere hajawahi kuwa na maamuzi yake mwenyewe binafsi bila kufanyiwa na wazungu, kuanzia kabla ya Uhuru mpaka alipokufa.

Sifahamu kwanini hilo linafichwa?

Nyerere katika masharti ya kupooewa uongozi ilikuwa ni lazima afanye kazi zake chini ya mzungu, akipenda sipende. Aliwekewa mwanamke wa kizungu aitwae Joan Wickens kwa muda wote wa uongozi wake, hakuna hotuba ya Nyerere ambayo huyto mwanamke hajaipitia na hakuna maamuzi yoyote ya Nyerere ambayo huyo mwanamke hajayapitia.

Hata alivyokuja Malkia wa Uingereza kuitembelea Tanzania alikuwa na maongezi ya wazi na yasiyo ya wazi na Joan Wickens.
Unamaanisha Nyerere alikua kibaraka wa wazungu sie alikua anatuzuga tu.
 
Unamaanisha Nyerere alikua kibaraka wa wazungu sie alikua anatuzuga tu.
Huo ndiyo ukweli, mtafute Joan Wickens na ujiulize kwanini alikuwa Ikulu kabla tu ya Uhuru mpaka kifo cha Nyerere?

Na huyo Joan Wickens ndiye aliifanya Tanzania iwe ma soshalisti. Kwa sababu wanazozijuwa wenyewe Waingereza, sisi tutakisia tu kwa sasa kutokana na mwenendo wa mambo ulivyokuwa.

Nyerere hajawahi kufanya maamuzi mazito bila kupata go ahead ya Joan Wickens.
 
Back
Top Bottom