Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hawa ndiyo aina ya watu tunao wasikia huku mitaani wakisema Bora wabishi Kama mbwa au paka Marekani au Ulaya kuliko kuishi Tanzania akiwa binadamu.Ulitaka ajibu vipi? Kwamba bado hatujakua tayari kujitawala? Wee ndio wale wamelewa kasumba ya wazungu. Kwani wenyewe unaamini walikua wanatutawala ili tupate uwezo wa kujitawala? Hakika watu ka wewe wanatia huruma kwa ujinga.
Wapo wengi wavivu wa kufikiri na kujitafutia wenyewe. Utawasikia wakisema Tanganyika tuliomba Uhuru mapema siyo kama Kenya.
Wanasahau kuna kisiwa hapa Africa kinaitwa Mayotte bado kinatawaliwa na France hadi leo 2024 na bado masikini sana hakifanani na France yenyewe.