Swali ambalo Hayati Mwalimu Nyerere aliulizwa na wazungu akajibu kisanii matokeo yake tunayaona sasa

Swali ambalo Hayati Mwalimu Nyerere aliulizwa na wazungu akajibu kisanii matokeo yake tunayaona sasa

Yuko sahihi sana...
Na hao wazungu/ former colonialists ndio chanzo kwanini majaketi yetu hayatuenei mpaka sasa...
Kwa yanayo endelea nchi kwako hatuhitaji kuelezewa kuwa tatizo ni wazungu au sisi wenyewe.

Wazulu kule kwa madiba nchi imewashinda wanataka kuwarejeshea makabulu.
 
Nyerere alikua sahihi kwa jibu alilotoa , hata kama alituingiza kwenye mfumo wa ujamaa ! Ila watu wote waliopita kijiti walichoachiwa ndo wametufelisha mpaka hapa ! Hebu angalia kama CCM now yaan haina mvuto hata kidogo , raia tunapangiwa hata wakishindwa uchaguzi wanalazimisha !
Ni wezi , ni wazandiki na wanajipendekeza
Upuuzi wa CCM una mizizi toka kwa Nyerere ukianza na katiba na chaguzi za kipuuzi na ku focus zaidi katika kuimarisha chama kuliko kuimarisha uchumi wa nchi.
 
Mbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.

Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.

Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
Hakuna anaye mlalamikia Nyerere kila kukikucha hapa nchini.

Mimi nimeweka interview hayo ya kumlalamikia Nyerere nafikiri ni yako mwenyewe kichwani mwako
 
Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.

Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.

Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.

Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
View attachment 3028474
Ngozi nyeusi imelaaaniwa,wazungu wakoloni walisha jifunza haya yote,iwe ukoloni wenyewa mafanikio na madhaifu,uchawa na uzalendo uchwara ,uzalendo wa kweli manufaa,mapungufu na madhara ya vyote,sasa ngozi nyeusi tunakurupuka tunacho amini,aminushwa tunakurupuka nacho bila kujua hata kutaka kujifunza matokeo yake sii tu u tuna peperushwa na upepo wa majani,ila tunapeperushwa hata na pepeso la kope za macho,sasa sijui,kimbunga au tsunami ingekuwaje🫠
 
Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.

Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.

Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.

Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
View attachment 3028474
Nyerere alishindwa kuanda wananchi wakutawala nao, alikua mbinafsi, mfano wa jacketi anao towa uko irrelevant nchi sio kama jacket, haya matatizo ya nchi hi na CCM yake Nyerere anawajibika kwa 70% wa koroni kwa 30% ......mpaka pale nchi itakavo pata maono mapya kuvunja legacy ya Nyerere na chama chake ndo tutaona Uhuru sahihi.
 
Upuuzi wa CCM una mizizi toka kwa Nyerere ukianza na katiba na chaguzi za kipuuzi na ku focus zaidi katika kuimarisha chama kuliko kuimarisha uchumi wa nchi.
Kweli hatukatai , yeye alifanya anavyoona yeye ni sahihi kwake ! Waliopokea kijiti ndo wakawa na tamaa ya madaraka !
 
Yuko sahihi sana...
Na hao wazungu/ former colonialists ndio chanzo kwanini majaketi yetu hayatuenei mpaka sasa...
Hahaha! Waliopewa uongozi kumbe walitamani kunufaika (waliongozwa na tamaa, mihemko) na hawakuwa na uwezo wa kuongoza wala kuendeleza, hatimaye waafrika wakakondeana, na mpaka kesho hawawezi kunenepa kifikra, hatimaye makoti hayatoshi.
 
If we could have been colonized for 50 more years, leadership mentality and good governance skills could have been implanted to tanzanian mental faculties.
Sidhani! Kama mpaka sasa wanaogombea na kushindwa, wengi3wao, ni WACHAWI kupindukia na watoa rushwa.
Mfano halisi ni S.A, jamaa wamekaa3ns Wazungu karne kadhaa Ila bado ni primitive hatari
 
Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.

Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.

Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.

Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.

Mbona alijibu ki ufundi wa hali ya juu!
 
Me nasemaga kila siku, Nyerere is to blame kwa haya yote yanayoendelea. Mzee alikuwa na kiherehere sana. Hapa tulipo hatukustahili kuwepo kama nchi ingejengwa kwa misingi bora ya wazungu ambao by then wao walikuwa wametuzidi kwenye vingi. Kuiga mambo mazuri sio kosa.
 
If we could have been colonized for 50 more years, leadership mentality and good governance skills could have been implanted to tanzanian mental faculties.
Haya ungayasema hiyo miaka hamsini iliyopita labda unge eleweka. Sasa hivi Taarifa watu wanazo.

Wazungu ni makatili na neio mashetani makubwa kuwagi kutembea hapa Duniani.

Kumbuka, walitesa, walibaka, waliua, waliiba, na walileta magonjwa ya zinaa. Mwombe mungu haya yasiwatokee watoto zako, wajukuu zako. Wateswe wabakwe wauwawe na wapate magonjwa ya zinaa. Na ikiwatokea wasifu wazungu.

Mtu mwenye mental faculties hawezi kuwa na mawazo ama anafikiria kutawaliwa.

You guys are just bigots racist twaats. Online Terrorists.

😂😂😂😂😂 How do yo feel knowing that there is absolutely nothing you can do about it? 😂😂😂

Muendelee vivyo hivyo na upuuzi wenu.

Africa is for Africans.
 
Mtoa mada akiulizwa Nyerere aliulizwaje akajibu nini. Anaruka na kukanyagana. Hajui... Kasikia tu watu wanasema Nyerere alijibu kisanii akabeba. Ame copy kwenye group lao la primary school na amekuja ku paste hapa.
 
Wazungu hakuna mahali ambapo wamewahi kumpa mwafrica uhuru.
 
Katiba mbovu inayotusumbua hivi SS na huko kipindi cha nyumba katunga yy .

He was purely dictator , even him adimit it.

Nyerere ametusaliti sana
Umeandika kingereza gani mkuu. Au jmeishia std two kama marioo
 
Back
Top Bottom