masupacca16
Member
- Nov 5, 2016
- 66
- 47
kama radi ni umeme je inawezaje kutrans angani mpk ardhini bila ya nyaya(kitu chochote cha kupitisha umeme huo)..?Uliza swali ambalo hukuwahi kupata majibu au kupatiwa majibu katika maisha yako yote, Leo utapatiwa majibu ya maswali yako yote. Karibuni sana
wanasema binadamu tumetokana na sokwe je kwa nini hakuna wale sokwe wanaondelea kubadilika kuwa binadamu??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Uliza swali ambalo hukuwahi kupata majibu au kupatiwa majibu katika maisha yako yote, Leo utapatiwa majibu ya maswali yako yote. Karibuni sana
Ww mm lijali naolewaje[emoji15]umeolewa?
Father Me Is Child Of How Much In Family Ours?BABA MIMI NI MTOTO WA NGAPI KATIKA FAMILIA YETU
sentesi hii niwekee kwa kingrereza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] cc; JPMFather Me Is Child Of How Much In Family Ours?
Kama nyumbani kwako hakuna Kobe basi ulimuona siyo kobeNimeona kobe nyumbani kwangu na maeneo hayo hakuna kobe hii inamaananísha nn?
Kama nyumbani kwako hakuna Kobe basi ulimuona siyo kobeNimeona kobe nyumbani kwangu na maeneo hayo hakuna kobe hii inamaananísha nn?
Hivi "sismizi" kwa kiingereza anaitwaje?Uliza swali ambalo hukuwahi kupata majibu au kupatiwa majibu katika maisha yako yote, Leo utapatiwa majibu ya maswali yako yote. Karibuni sana