Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Vipi,.. una Dada wangapi...? Hivi Yule aliezaliwa na Shangazi yako, namba yake ya SIMU ni ngapi/ipi...?
 
Hivi kwanini nywele za kichwani ni nywele
Kidevuni -ndevu
Juu ya jicho-Nyusi
Kwenye macho -Kope
Juu ya mdomo=Sharafa
Pembeni ya uso- Sharubu
Kwapani -
Sirini- Mavuzi

Shida yote ya nini si wangeita nywele tu ?
Duh! Mkuu swali lako noma, imekuwaje ukajiuliz yote hayo
 
Hivi kwanini nywele za kichwani ni nywele
Kidevuni -ndevu
Juu ya jicho-Nyusi
Kwenye macho -Kope
Juu ya mdomo=Sharafa
Pembeni ya uso- Sharubu
Kwapani -
Sirini- Mavuzi

Shida yote ya nini si wangeita nywele tu ?
Kutofautisha mambo ni jambo LA busara sana hasa katika vitu ambavyo vinafanana ili kupata na kuelewa maana halisi ya kizungumziwacho ndo maana yakatungwa majina hayo ili kutofautisha na kupeleka maana halisi Ujumbe kusudiwa
 
Kwanini ukiramba Kamasi zina Chumvi?
Ni kwa sababu miili yetu in chumvi chumvi nyingi sana ndio maana kila kitikacho mwlin mwa wanyama huwa kina chumvi nyingi tu mfano mkojo, mate, makohozi, damu hata kule chumvin kama vijana wanavopata. Kwa hiyo makamasi kua na chumvi ni kuyokana na nature ya miili yetu
 
Swali zuri.. Katika dunia yetu kuna layers kama saba (atmospheric layers ) ambazo ni atmosphere, troposphere, stratosphere, mesosphere ionosphere na exosphere na hizi layaer inasadikiwa zipo katika kila sayari, katika dunia yetu layer ya troposphere na ionosphere ndizo zimegundulika kupitisha umeme kirahisi. Kwa nn umeme unasafiri bila nyaya angani?... Jibu ni hivi katika hizo layer nlizokutajia hapo juu kuna hewa ambzo zina kua na molecules za negative(-) na positive(+) hizi molecule hupitisha umeme katika layer tajwa hapo juu.
Radi.. Radi hutokea pindi mawingu yenye molecules nyingi za (+) na mengine ya (-) yanapo kutana basi hutokea mlipuko ambayo huzalisha sauti na umeme yaani radi umeme huo husafiri kotokea juu mpaka ardhin kupitia molecules zilizopo kwenye hewa.
Na hivo ndivo umeme wa radi unavo safiri
Wow! mkuu asante kwa ufafanuzi murua....
 
Back
Top Bottom