Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Vipi,.. una Dada wangapi...? Hivi Yule aliezaliwa na Shangazi yako, namba yake ya SIMU ni ngapi/ipi...?
 
Hivi kwanini nywele za kichwani ni nywele
Kidevuni -ndevu
Juu ya jicho-Nyusi
Kwenye macho -Kope
Juu ya mdomo=Sharafa
Pembeni ya uso- Sharubu
Kwapani -
Sirini- Mavuzi

Shida yote ya nini si wangeita nywele tu ?
Duh! Mkuu swali lako noma, imekuwaje ukajiuliz yote hayo
 
Hivi kwanini nywele za kichwani ni nywele
Kidevuni -ndevu
Juu ya jicho-Nyusi
Kwenye macho -Kope
Juu ya mdomo=Sharafa
Pembeni ya uso- Sharubu
Kwapani -
Sirini- Mavuzi

Shida yote ya nini si wangeita nywele tu ?
Kutofautisha mambo ni jambo LA busara sana hasa katika vitu ambavyo vinafanana ili kupata na kuelewa maana halisi ya kizungumziwacho ndo maana yakatungwa majina hayo ili kutofautisha na kupeleka maana halisi Ujumbe kusudiwa
 
Kwanini ukiramba Kamasi zina Chumvi?
Ni kwa sababu miili yetu in chumvi chumvi nyingi sana ndio maana kila kitikacho mwlin mwa wanyama huwa kina chumvi nyingi tu mfano mkojo, mate, makohozi, damu hata kule chumvin kama vijana wanavopata. Kwa hiyo makamasi kua na chumvi ni kuyokana na nature ya miili yetu
 
Magufuli anashauriwa na baraza la mawaziri au yeye ndio analishauri baraza
 
Wow! mkuu asante kwa ufafanuzi murua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…