Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Hivi kwanini nywele za kichwani ni nywele
Kidevuni -ndevu
Juu ya jicho-Nyusi
Kwenye macho -Kope
Juu ya mdomo=Sharafa
Pembeni ya uso- Sharubu
Kwapani -
Sirini- Mavuzi

Shida yote ya nini si wangeita nywele tu ?
 
Mbona jamaa kaingia mitini?

Ngoja na mimi niangushie swali langu
 
Kwa nn ukijisaidia haja kubwa mkojo lzma utoke? wakat wa haja ndogo kubwa haitoki?
 
Uliza swali ambalo hukuwahi kupata majibu au kupatiwa majibu katika maisha yako yote, Leo utapatiwa majibu ya maswali yako yote. Karibuni sana
Mimi ni ustaazi Juma na Musoma, Muzamili Katunzi au ni Papaa Musofe?
 
kama radi ni umeme je inawezaje kutrans angani mpk ardhini bila ya nyaya(kitu chochote cha kupitisha umeme huo)..?
Swali zuri.. Katika dunia yetu kuna layers kama saba (atmospheric layers ) ambazo ni atmosphere, troposphere, stratosphere, mesosphere ionosphere na exosphere na hizi layaer inasadikiwa zipo katika kila sayari, katika dunia yetu layer ya troposphere na ionosphere ndizo zimegundulika kupitisha umeme kirahisi. Kwa nn umeme unasafiri bila nyaya angani?... Jibu ni hivi katika hizo layer nlizokutajia hapo juu kuna hewa ambzo zina kua na molecules za negative(-) na positive(+) hizi molecule hupitisha umeme katika layer tajwa hapo juu.
Radi.. Radi hutokea pindi mawingu yenye molecules nyingi za (+) na mengine ya (-) yanapo kutana basi hutokea mlipuko ambayo huzalisha sauti na umeme yaani radi umeme huo husafiri kotokea juu mpaka ardhin kupitia molecules zilizopo kwenye hewa.
Na hivo ndivo umeme wa radi unavo safiri
 
Pia inasemekana umeme uliopo angani hua una nguvu sana kipind cha mchana na jua Kali na huwa na nguvu kidogo wakati wa usiku na asubuh
 
wanasema binadamu tumetokana na sokwe je kwa nini hakuna wale sokwe wanaondelea kubadilika kuwa binadamu??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio kweli kuwa binadamu ametokana na sokwe. Kwa kutizama nadharia mbili zifuatazo
Nadharia ya kisayansi:
Miaka billion's iliyopita kulikua na wingu kubwa sana ( giant cloud) hilo wingu lilikua likielea hewani baada ya miaka kadhaa kulitokea mlipuko mkubwa sana ambao ulisababisha kutokea kwa vipande vipande kutoka kwenye huo mlipuko ambavyo vililushwa mbali sana. Vipande hvo vilikuwa katika mfumo wa uji uji yaani liquid state baadae vilianza kuganda na kutengeza sayari yaan solar system katika hzo zilizojitengeneza ikiwemo dunia zilikua na chembe chembe za uhai ambazo zilidevelop na kua species mbali mbali kama vile miti maji, mimea, Kisha baada ya muda mfumo wa uzalianaji ulibadilika, kutoka kujitengeneza na kuwa wa kuunganisha mbegu za kiume na za kike yaan manii na yai kwa wanyama na mifumo mengine kwa species wengine ukisoma reproduction utaelewa zaid nnachomaanisha. Tokea hapo binadamu wakaanza kuzaliana na kuwa wengi na sio kwamba walitokana na sokwe sababu sokwe nao walianza kwa njia zao. Japo kuna baadhi ya maumbile tunafana nao lakin haimaanish tulitokana nao.

Nadharia ya kiimani ( dini)
Binadamu wote tulitokana na uzao wa Adam na Hawa kama ambavyo vitabu vya dini vinaeleza. Isipokua Adamu yeye aliumbwa hakuzaliwa na pia Hawa aliumbwa kutoka kwa Adam hapo ndipo binadamu walipotokea na kuwepo mpaka Leo. Pia kwa mujibu wa dini utakuta baadhi ya vipengele vinakuja kuungana mfano, binadamu tunatokana na tone la manii linapokungana na pande LA damu yaan mbegu ya kiume na ya kike zinapoungana. Lakin pia kuna baadhi ya maandiko yanasema kuwa sokwe ndo walitokana na binadamu baada ya baadhi wa karne hzo kulaaniwa na kupelekea kubadilika na kuwa viumbe wa ajabu yaan sokwe na manyani. Kwa hyo suala LA binadamu kutokana na sokwe ni propaganda tu
 
Nimeona kobe nyumbani kwangu na maeneo hayo hakuna kobe hii inamaananísha nn?
Kobe kama wanyama wengine hutembea maneo mbali mbali kwa ajili ya kutafuta mahitaji muhimu ( chakula) kwa hyo kuonekana maeneo hayo wakati hawapatikani maeneo hayo ni jambo la kawaida kwa kuwa wanyama hutembea sana kutafuta chakula na maeneo ya kujihifadhi
 
Back
Top Bottom