Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Swali ambalo hukuwahi kujibiwa, Leo majibu yake yapo hapa

Naomba maana ya photons
Sisimiza hakianguka kutoka juu mpaka chini, mfano kwenye mti, ukuta miguu anavunjika?
 
Kwa nini kura za uraisi wa bara zilikuwa halali wakati za huku kwetu zilikuwa batili na wapiga kura tulikuwa walewale?
Kwa sababu kulikua na tume mbili zilizosimamia uchaguzi huo
1. NEC
2. ZEC
Uchaguzi wa Tanzania ulisimamiwa na NEC na uchaguzi wa Zanzibar ulisimamiwa na ZEC. Ndio maana wazanzibar walipiga kura mara mbili kwa cku moja yaani kumchagua raisi wa Tanzania na pia kumchagua raisi wa zanzibar. Hata katika kuchovya wino wazanzibar walichovya vidole viwili cha kulia na kushoto. Kwa hyo uchaguzi uliosimamiwa na NEC ulikua halali, huku uchaguzi wa Zanzibar ulikua na mizengwe mingi kutokana na madhaifu yaliyojitokeza. Hivo basi kura za raisi wa jamhuri zilikuwa ni halali kulingaisha na za raisi wa zanzibar
 
Siku ya mwisho huwa ni jumapili, baada ya hapo ndo huanza siku mpya katika juma yaan jumatatu
Siku ya Mwisho kwa nn isiwe Ijumaa sababu Juma mosi ni mosi means 1, jpili means 2 na Jtatu ni siku ya tatu ktk wiki.
 
Swali zuri.. Katika dunia yetu kuna layers kama saba (atmospheric layers ) ambazo ni atmosphere, troposphere, stratosphere, mesosphere ionosphere na exosphere na hizi layaer inasadikiwa zipo katika kila sayari, katika dunia yetu layer ya troposphere na ionosphere ndizo zimegundulika kupitisha umeme kirahisi. Kwa nn umeme unasafiri bila nyaya angani?... Jibu ni hivi katika hizo layer nlizokutajia hapo juu kuna hewa ambzo zina kua na molecules za negative(-) na positive(+) hizi molecule hupitisha umeme katika layer tajwa hapo juu.
Radi.. Radi hutokea pindi mawingu yenye molecules nyingi za (+) na mengine ya (-) yanapo kutana basi hutokea mlipuko ambayo huzalisha sauti na umeme yaani radi umeme huo husafiri kotokea juu mpaka ardhin kupitia molecules zilizopo kwenye hewa.
Na hivo ndivo umeme wa radi unavo safiri
Na je kwa nini radi mara nyingi husikika wakati wa mvua,..?
 
Kwa sababu kulikua na tume mbili zilizosimamia uchaguzi huo
1. NEC
2. ZEC
Uchaguzi wa Tanzania ulisimamiwa na NEC na uchaguzi wa Zanzibar ulisimamiwa na ZEC. Ndio maana wazanzibar walipiga kura mara mbili kwa cku moja yaani kumchagua raisi wa Tanzania na pia kumchagua raisi wa zanzibar. Hata katika kuchovya wino wazanzibar walichovya vidole viwili cha kulia na kushoto. Kwa hyo uchaguzi uliosimamiwa na NEC ulikua halali, huku uchaguzi wa Zanzibar ulikua na mizengwe mingi kutokana na madhaifu yaliyojitokeza. Hivo basi kura za raisi wa jamhuri zilikuwa ni halali kulingaisha na za raisi wa zanzibar
Kilichosababisha kurudiwa uchaguzi ni mienendo yote ya upigaji na uhesabu kura....je? Unatenganisha vipi mienendo wakati wa upigaji na uhesabuji kura za NEC na ZEC ikiwa kura zilipigwa na kuhesabiwa kwa wakati mmoja?
 
Kwa nn ukijisaidia haja kubwa mkojo lzma utoke? wakat wa haja ndogo kubwa haitoki?
Katika mwili wa binadamu kuna Misuli ambayo huzuia haja mdogo na kubwa,misuli hii hufanya kazi kwa pamoja. Tofauti hapa misuli iliyopo kwenye njia ya haja kubwa ni minene na yenye nguvu kulinganisha na misuli ya njia ya haja ndogo kwa hiyo inapoenda haja ndogo nivigumu sana haja kubwa kutoka kutokana na kua strong pia hapa mtu hua hatumii nguvu Kubwa. Kwa haja kubwa ikitoka lazima na haja ndogo itoke kwa sababu misuli ya haja ndogo ipo weak Pia sababu nyingine hapa hutumia nguvu kubwa kutoa haja kubwa ndo maana na ndogo inafuata
 
Siku ya mwisho huwa ni jumapili, baada ya hapo ndo huanza siku mpya katika juma yaan jumatatu
juma mosi ni siku mosi (siku ya kwanza) anziahapo kuhesabu.mbona zimepangwa katika mpangilio mzuri tu ili kupata siku ya mwisho mkuu.
 
Katika mwili wa binadamu kuna Misuli ambayo huzuia haja mdogo na kubwa,misuli hii hufanya kazi kwa pamoja. Tofauti hapa misuli iliyopo kwenye njia ya haja kubwa ni minene na yenye nguvu kulinganisha na misuli ya njia ya haja ndogo kwa hiyo inapoenda haja ndogo nivigumu sana haja kubwa kutoka kutokana na kua strong pia hapa mtu hua hatumii nguvu Kubwa. Kwa haja kubwa ikitoka lazima na haja ndogo itoke kwa sababu misuli ya haja ndogo ipo weak Pia sababu nyingine hapa hutumia nguvu kubwa kutoa haja kubwa ndo maana na ndogo inafuata
A little more plz.......
 
BABA MIMI NI MTOTO WA NGAPI KATIKA FAMILIA YETU

sentesi hii niwekee kwa kingrereza
Dad how do i rank in your family?
Mfano mwingine unamuuliza mtoto unaitwa nani anakuambia Dora ila unataka ataje jina la pilI utasemaje kwa kiingereza?
JIBU akikutajia Dora unamuambia Dora how much
 
Back
Top Bottom