Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Akijibu hapanaaa ushato...aisee mama wanaume wa sasa Pete atuvaii kichanganyeni ati umeoa umeolewa Pete tunavaa tukikaribia mahome aka .....Nimeagizwa niwaletee huu UJUMBE,š š
Eti uko kwenye mahusiano?
Una mpenz ???
Kama hana Pete kidolen huyo ni single,
Unatakiwa kuuliza umeolewa ?
Una mume ??
Majibu yakiwa ndyo basi achana naye kwasababu ni mke wa mtu
Na akijibu hapana basi yupo single.
ACHENI KUTUULIZA MASWALI YA KIPUUZI KAMA TUPO KWENYE MAHUSIANO AU TUNA MPENZI
Wanaume weusi na warefu muwe na siku njema nyie wengine lolote liwakuteeNimeagizwa niwaletee huu UJUMBE,š š
Eti uko kwenye mahusiano?
Una mpenz ???
Kama hana Pete kidolen huyo ni single,
Unatakiwa kuuliza umeolewa ?
Una mume ??
Majibu yakiwa ndyo basi achana naye kwasababu ni mke wa mtu
Na akijibu hapana basi yupo single.
ACHENI KUTUULIZA MASWALI YA KIPUUZI KAMA TUPO KWENYE MAHUSIANO AU TUNA MPENZI
Kama mm Niko kwenye mahusiano ila sio kivileee nkikutana na swali la namna hii Huwa naudhika sana..ila Bado naendelea kuwatakia siku njema wanaume weusi na warefu mungu awabariki sanaNimeagizwa niwaletee huu ujumbe,š š
Eti uko kwenye mahusiano? Una mpenzi?
Kama hana Pete kidolen huyo ni single!
Unatakiwa kuuliza umeolewa? Una mume?
Majibu yakiwa ndiyo basi achana naye kwasababu ni mke wa mtu na akijibu hapana basi yupo single.
Acheni kutuuliza maswali ya kipuuzi kama tupo kwenye mahusiano au kama tuna mpenzi!
Ivi ee?Umeandika pumba.
Wewe umeelewa nini?Ivi ee?
Kama ulivyoelewa mkuuWewe umeelewa nini?
Ukizalishwa, unaanza kumpiga mtoto mafilter.Wanaume weusi na warefu muwe na siku njema nyie wengine lolote liwakutee
Inaonekana we ni mweupe, halafu una kitambiš®Ukizalishwa, unaanza kumpiga mtoto mafilter.
Sawa single maza mtarajiwa.Inaonekana we ni mweupe, halafu una kitambiš®
hili hakuna haja ya kulipeleka bungeni ni kuwqchosha waheshimiwa wetu kwa jambo ambalo liko wazi binti km hajaolewa huyo yuko singlesawa sawa hilo swala lako inabidi tulipeleke bungeni, wakajadili maana imekuwa shida sana kwa watanzania