Swali analotakiwa kumuuliza mwanamke ukiwa unatafuta mpenzi ni kama ameolewa. Akijibu hapana basi huyo yupo single

Unakuta huna pete kidoleni mtu anakuuliza una mwanaume serious??? Whaaaat!!!!!!!!!
Ukiona mwanamke hana pete ya uchumba wala ndoa
Uyo yupo single angekua na mwanaume ungeona mapete ... ww kama unataka kuoa tangaza nia oa
 
Vijana wa skuizi mnaona kwamba kutingoza ni mbooonge la tizi yani mnapata ugumu zana kuzoza kiasi kwamba mnapo kubaliwa mnakuja kuanzisha na uzi kabisa...😜
Sasa mngekua enzi zetu hakuna sim na teknolojia, then unatongoza na bado unakataliwa na kutangazwa juu... simngekua mnaandika na vitabu kabisa..🤣
 
Zama za kutongoza zishapitwa na wakati mkuu. Sasa hivi tupo kwenye zama za kununua.
 
Unakuta huna pete kidoleni mtu anakuuliza una mwanaume serious??? Whaaaat!!!!!!!!!
Ukiona mwanamke hana pete ya uchumba wala ndoa
Uyo yupo single angekua na mwanaume ungeona mapete ... ww kama unataka kuoa tangaza nia oa
Hatuoi makapi. Mademu kama nyie tunapiga na kusepa tu tukitaka kuoa tunatafuta binti decent.
 
Back
Top Bottom