SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kiukweli mimi bora nifungwe jela mwaka mmoja siwezi kuolewa na x wangu maana aliniboa kweli kweli.

Tena nahisi hata nikikubali kunioa nahisi ningekuwa nimenuna kila siku ndani ya nyumbaa.

Hili swali limenipa hasira mimi bora nifungwe Segerea kuliko kuolewa na X wangu aliniboa yani aliniuziii aiseee siwezi kabisaaaaa tena nalichukia balaaa.



Malaika wa Jr.
 
Mnaosema kwenda jera muombe siku moja mkakae huko hata masaa 5 uone uhondo wa jera ulivyo.
Kwa maelezo zaid kuhusu uhondo wa jela Muone Mh.Mbowe kupitia namba 073456111
 
Unaolewa/oa ndani ya week 1 chepuka na yule umpendae ili kuhitimisha ndoa yenu.
Kwanza kabisa mkiwa ndani usitoe unyumba
Sjaelewa hata kidogo sasa nikiolewa kwa nn nichepuke??? Nikiwa ndani nisitoe unyumba ni haki ya mume wangu kwa nn nimkatalie akapate wapi? Nitachepuka vipi na ninaempenda wakat nimeolewa na mume niliemridhia kwa kila hali
 
Back
Top Bottom