SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Mhh me naona niko tofaut sana na wengine ukishakua ex wewe ni bye bye hajjalishi tulichuniana tu au kuchana kwa mabaya nenda tu kwa amani na kamwe simtafti mtu anaitwa ex na siwez kujidrag low kuendeleza hizo mechi za kirafiki na ex hapana kwa kweli

Hizo sentensi mbili za mwisho umenifanya natabasam hapa
ahahaaaa kwahiyo bora uende segerea??

told ya 🙂
 
ahahaaaa kwahiyo bora uende segerea??
Jaman mtoa mada katupa option mbili na kila mtu amejibu anavyoweza mimi siwez kurudiana na ex na had nakubali kuachana na wewe bas jua kweli umezingua na before sjachukua hayo maamuzi ya kukuacha hua nakupa nafas kibao utanikera kama nitaona namna gan yes nitakuomba tuyamalize haijalishi hata kama kosa umefanya wewe lakini niamini nikisema basi ujue nimetosheka na imetoka moyoni na nitakuacha uende kwa amani wala sitakusumbua kamwe zaidi siwez kukublock nitakuacha tu ila kukutumia msg sjui tumekaa miaka tuanze kuwasiliana turudiane au tucheze hizo mechi aisee naona kujishusha sana thamani yangu
 
Kwa kweli yani.
Ndio hivyo ndugu yangu, kila mtu ana mismamo yake ya jinsi anavyojiwekea hatuwez kuwa sawa kabisa japo kuna vitu kwa akili ya kawaida tu unaona hili haliko poa unaachana nalo
 
Wew kwenda jela wakati mwenzako anawwza chagua hata bora afe kuliko kukurudia siwez sikiliza upande mmoja shaaaaa kama nilikuwepo
 
Jaman mtoa mada katupa option mbili na kila mtu amejibu anavyoweza mimi siwez kurudiana na ex na had nakubali kuachana na wewe bas jua kweli umezingua na before sjachukua hayo maamuzi ya kukuacha hua nakupa nafas kibao utanikera kama nitaona namna gan yes nitakuomba tuyamalize haijalishi hata kama kosa umefanya wewe lakini niamini nikisema basi ujue nimetosheka na imetoka moyoni na nitakuacha uende kwa amani wala sitakusumbua kamwe zaidi siwez kukublock nitakuacha tu ila kukutumia msg sjui tumekaa miaka tuanze kuwasiliana turudiane au tucheze hizo mechi aisee naona kujishusha sana thamani yangu
jela what?? 😵 😵
 
hii mada ilianzishwaga redio east africa nilicheka sana maana kila mtu aliona bora jela tu
 
Back
Top Bottom