Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Nimekusaidia kuedit hahha[emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusaidia kuedit hahha[emoji124]
hahaha naenda jelaNimekusaidia kuedit hahha
Ahaha na ww pia?? Ukafanyaje jelahahaha naenda jela
kumtafuta ex usikute wangu nae kachukua uamuzi huuAhaha na ww pia?? Ukafanyaje jela
Mmbea wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]!......Shunie ananidanganya kuwa eti bado wapo pamoja!!
Wapo bado
Sijawahi kuachana na ex wangu kwa vitimbi. Yani inatokea tu kila mtu anashika njia yake bila kelele. Sasa kwenda jela kweli hapana hata kama mapenzi Yameisha ntabanana nae tu kwani sh ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahahahaaa haya ukirudi usinitaftekumtafuta ex usikute wangu nae kachukua uamuzi huu
Mhh me naona niko tofaut sana na wengine ukishakua ex wewe ni bye bye hajjalishi tulichuniana tu au kuchana kwa mabaya nenda tu kwa amani na kamwe simtafti mtu anaitwa ex na siwez kujidrag low kuendeleza hizo mechi za kirafiki na ex hapana kwa kweli
Hizo sentensi mbili za mwisho umenifanya natabasam hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuolewa na mtu usiyempenda ni kifungo cha maishaMnaosema kwenda jera muombe siku moja mkakae huko hata masaa 5 uone uhondo wa jera ulivyo.
Kwa maelezo zaid kuhusu uhondo wa jela Muone Mh.Mbowe kupitia namba 073456111
HahaRafiki yule X wako uliempata kule makapuku forum mzima?[emoji53][emoji53][emoji53]
AseeKwani madam wewe una X mmoja tu??[emoji53][emoji53][emoji53]
duhhMs chura unaanzaje kumkataa baba mtoto wako kwa mfano?![emoji28][emoji28][emoji28]
Tihtihtihkwenye hao X wako wengi si kuna ambao ni afadhali kidogo?[emoji53][emoji53][emoji53]
Kwani yule ulieachana nae kipindi kile hakuwa wa makapuku forum?