SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

jera bora ila kula chakula kilichodondoka mezani dyu sitaweza( x-wangu)
 
My ex girlfriend is my future wife, Who knows tomorrow?!..
 
Mhh me naona niko tofaut sana na wengine ukishakua ex wewe ni bye bye hajjalishi tulichuniana tu au kuchana kwa mabaya nenda tu kwa amani na kamwe simtafti mtu anaitwa ex na siwez kujidrag low kuendeleza hizo mechi za kirafiki na ex hapana kwa kweli

Hizo sentensi mbili za mwisho umenifanya natabasam hapa

Nimependa huu msimamo... . Japo nikipenda napenda kweli kweli ila ikishafikia hatua tukaachana sinaga kurudi nyuma hata mwanaume aweje.. NEVER



cc Smart911
 
Mnaosema kwenda jera muombe siku moja mkakae huko hata masaa 5 uone uhondo wa jera ulivyo.
Kwa maelezo zaid kuhusu uhondo wa jela Muone Mh.Mbowe kupitia namba 073456111
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuolewa na mtu usiyempenda ni kifungo cha maisha
 
Mambo ya kwenda kuvua nguo jela ili kukaguliwa nani anayataka, huyo mzazi mwenzangu tutavumiliana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli utaweza
 
Rafiki yule X wako uliempata kule makapuku forum mzima?[emoji53][emoji53][emoji53]
Haha
Kwani madam wewe una X mmoja tu??[emoji53][emoji53][emoji53]
Asee
Ms chura unaanzaje kumkataa baba mtoto wako kwa mfano?![emoji28][emoji28][emoji28]
duhh
kwenye hao X wako wengi si kuna ambao ni afadhali kidogo?[emoji53][emoji53][emoji53]
Tihtihtih
Kwani yule ulieachana nae kipindi kile hakuwa wa makapuku forum?

ila wee nawe mwingi wa habari za kichokozi lol!!!..



cc Smart911
 
Back
Top Bottom