Wewe! Kule jela utachoka alafu uchakaeHahaha bora nikakae jela hata miaka mitano sio mmoja tu
Haha lakini ni swali tu ingekua kuna option ya tatu ningechagua hiyo sema kishalimit hizoWewe! Kule jela utachoka alafu uchakae
Eeeeeh kwa kweli
Unaolewa/oa ndani ya week 1 chepuka na yule umpendae ili kuhitimisha ndoa yenu.Haha lakini ni swali tu ingekua kuna option ya tatu ningechagua hiyo sema kishalimit hizo
Fafanuasio kila ex... ni X
Sjaelewa hata kidogo sasa nikiolewa kwa nn nichepuke??? Nikiwa ndani nisitoe unyumba ni haki ya mume wangu kwa nn nimkatalie akapate wapi? Nitachepuka vipi na ninaempenda wakat nimeolewa na mume niliemridhia kwa kila haliUnaolewa/oa ndani ya week 1 chepuka na yule umpendae ili kuhitimisha ndoa yenu.
Kwanza kabisa mkiwa ndani usitoe unyumba
Sijawahi kuachana na ex wangu kwa vitimbi. Yani inatokea tu kila mtu anashika njia yake bila kelele. Sasa kwenda jela kweli hapana hata kama mapenzi Yameisha ntabanana nae tu kwani sh ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]