Matumbwela
Senior Member
- Oct 23, 2010
- 124
- 88
Balaaa! Nakushauri usamehe kwanza ili uweze kusahau yote.Kifungo cha ndani cha gerezani
Kwamba kusuguliwa na ke mwenzio inanoga zaidi au sio!!Vipiii
kujinyongaHili swali duh!
Siwezi olewa na x wangu..na jela siwezi kwenda
Ntaomba tu nipewe optn jaman
Umetisha saaana[emoji23] [emoji23] wakuache wakuaacheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuliko x
we kama upo tayari sema nikuowe kwa siku 3 tu then ukitoka utachagua Jela na X nani bora!..Thubutuuuu wewe unasikiliza story tu ili muogope jelaaaa
Hicho tu, vingine wenye mali watahusika navyo!..Hizo umepata sema kingine.
Hahahahatwende jela tu.
Hayafinally nimemuona ex wangu
habari ex
lakini ni XHaya
Nakwambia we hayalakini ni X
DaaaaaaahNakwambia we haya
NiniDaaaaaaah