SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Hajanipa hata sh mia yake wala chochote ......yaani me ndo nlikua nampa hela za hapa na pale na hizo 80 ndo nikamkopesha .....hivi Mimi sijui nilirogwaaa nikukumbuka huwa najisonya Sonya tu ....usenge ule sirudii teeena mpaka nakufa manina
finally nimemuona ex wangu

habari ex
 
Uende jela ukutane na nyampara uwe chakula chake...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema sina Ex hla nina Example ya vitu nlivofanya nsirudie tena
 
Ivi jela mnakujuw nyinyi??? .

Hata ivo mambo mengine ni yakufikirika kwaiyo kama mimi nisingejibu swali.
 
Kiukweli mimi bora nifungwe jela mwaka mmoja siwezi kuolewa na x wangu maana aliniboa kweli kweli.

Tena nahisi hata nikikubali kunioa nahisi ningekuwa nimenuna kila siku ndani ya nyumbaa.

Hili swali limenipa hasira mimi bora nifungwe Segerea kuliko kuolewa na X wangu aliniboa yani aliniuziii aiseee siwezi kabisaaaaa tena nalichukia balaaa.



Malaika wa Jr.
teheeteheee!!!
 
Back
Top Bottom