Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Bora kifungo cha ndoa chiefNamaanisha hakuna kuachana ndo utajua sasa bora jela au kifungo cha maisha cha ndoa chenye visa na vitimbwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kifungo cha ndoa chiefNamaanisha hakuna kuachana ndo utajua sasa bora jela au kifungo cha maisha cha ndoa chenye visa na vitimbwi
KweliYani ndani itakuwa mwendo wa kuongea kwa kugombana tu akiiii mm siwezi
Picha linaanza mi ndo huwa nawaachaga halafu siku nikikaa nimemmiss ntajitumisha message yani hata kama umenimind nimekuacha utarudi tu. Mmoja ndo aliniachaga huyo na yeye nilikua namvimbia situmi message wala nini sema nikisoge pembeni naliaaa
Ndio ndugu yangu ulisema nimpe ila kwa hili no no no
Haya we endelea kusoma comments uongeze siku za kuishinipo hapa nimetulia mtoto wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ntamkubali mpk anilipe elfu 80 yangu kwanza ....nilimkopesha hajanilipa tapeli mkubwa yule[emoji53] [emoji53] [emoji53]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] .......Hahahahhahahaha ila wewe ni kibokooo hahaha umenishinda tabia
Ma x hata jina huwakumbukii hahahahah uwiiii sasa siku unakutana naye barabaran anakusalimia unasema hivi tulionana wapi kama nakukumbuka hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahahaha nimecheka kifala aseee haya mambo haya ohoooo.........
Ongea chochote🙂 🙂 😉