SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Ndo na mimi sasa. Yani nilikuacha ila nikikaa na rafiki zangu nalia hadi natamani kufa. Nikimuona najitia kauzu balaa. Na yeye mara ya mwisho ananitafuta tuanze moja nikamwambia baba nina mimba na wewe mapenzi yalishaisha. Anajishtukiaga mpaka leo kwa jinsi nilivyokua nampenda na nikamsahau. Sema ex huyu kuolewa nae ntakubali ila week tu naomba talaka
Hahahahahahaha talaka week?lol
 
Ukiomba talaka wanakusweka jelaaa
 
Kwa kweli mimi aje tu tuishi kwa huo mda, niende kuwa kama yule boss wa IPTL au Ruge!! aisee hapana kabisa.
 
Ebu kwanza nikumbuke nahisi zhongtong(shabibi) moja inajaa ....hebu hesabu siti za hiyo bus kwanza sasa dah sijui yupi ni yupi aseee.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakirud woteee itabidi wakusweke ndani segerea hakuna namna
 
Picha linaanza mi ndo huwa nawaachaga halafu siku nikikaa nimemmiss ntajitumisha message yani hata kama umenimind nimekuacha utarudi tu. Mmoja ndo aliniachaga huyo na yeye nilikua namvimbia situmi message wala nini sema nikisoge pembeni naliaaa

uwiiiiiiiii mbavu zangu mieee jamani .. eti naliaaaa Khakhakhaaaaa nimecheka sana hapo kwenye kilio.. mi ni masikini jeuri asee hata uniache sikusumbui ng'o........nikikuacha ndo sahau mazima.

cc Smart911
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakirud woteee itabidi wakusweke ndani segerea hakuna namna
Hahahahahahahahaha nimecheka kifala aseee haya mambo haya ohoooo.........
 
Back
Top Bottom