SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Ma x hata jina huwakumbukii hahahahah uwiiii sasa siku unakutana naye barabaran anakusalimia unasema hivi tulionana wapi kama nakukumbuka hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah nakumbuka majina tu.....wallah siku tukionana siwezi kuwajua .....aiseeeeeee hatari sana
 
uwiiiiiiiii mbavu zangu mieee jamani .. eti naliaaaa Khakhakhaaaaa nimecheka sana hapo kwenye kilio.. mi ni masikini jeuri asee hata uniache sikusumbui ng'o........nikikuacha ndo sahau mazima.

cc Smart911
Si nalia pembeni sasa. Siku niliyolia mbele yake ndo siku ambayo nilimuacha kabisa kabisa na kwenye moyo akapungua. Sitamsahau yule mkaka
 
uwiiiiiiiii mbavu zangu mieee jamani .. eti naliaaaa Khakhakhaaaaa nimecheka sana hapo kwenye kilio.. mi ni masikini jeuri asee hata uniache sikusumbui ng'o,, nikiwa nimekupenda saaaana najikaza siku mbiltatu nakusahauuu ........nikikuacha ndo usinisogelee kabisa
usiniguseeeeee

cc Smart911
Mi sisahau haraka. Naweza chukua hata miaka miwili kumsahau mtu.
 
Hahahahahah nakumbuka majina tu.....wallah siku tukionana siwezi kuwajua .....aiseeeeeee hatari sana
Hahahahah mm nikiachana hata jina nasahau walllah namba ndo kabisa huwa sikariri kichwani
 
Unamdai x wakooo na yeye akikudai vyakeee
Hajanipa hata sh mia yake wala chochote ......yaani me ndo nlikua nampa hela za hapa na pale na hizo 80 ndo nikamkopesha .....hivi Mimi sijui nilirogwaaa nikukumbuka huwa najisonya Sonya tu ....usenge ule sirudii teeena mpaka nakufa manina
 
Ulimpenda sana hahahaha
 
Back
Top Bottom