Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Shangaa na wewe wakunyumba
Ndo nimeshangaa mbona mi simjui huyo anaeongelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nimeshangaa mbona mi simjui huyo anaeongelewa
[emoji23][emoji23][emoji23]!....Rafiki umbea ndiyo ugali wangu!
Chambaaa ndugu yangu
Hahaha ndio inavotakiwaBora jelaaaa mm siwez kabisa kurudiana na X nitaanzaje kwa mfanooo uwiiiii sna upendo naye tenaaaa
Ndo na mimi sasa. Yani nilikuacha ila nikikaa na rafiki zangu nalia hadi natamani kufa. Nikimuona najitia kauzu balaa. Na yeye mara ya mwisho ananitafuta tuanze moja nikamwambia baba nina mimba na wewe mapenzi yalishaisha. Anajishtukiaga mpaka leo kwa jinsi nilivyokua nampenda na nikamsahau. Sema ex huyu kuolewa nae ntakubali ila week tu naomba talakaHahahahahahah huu ujinga me nshawahi kumwacha mtu wakati nampenda mpk akili inasoma 0% aseee.....ila ye hakunipenda hata kidogo ...nilipiga moyo konde nikamwacha ....ila nikawa nalia tuuuu nilikondaaa ila sikumtafutaaaa nikakomaa hvyohvyo ......eti baada ya mwaka anakuja kuniomba msamaha uuuwiiii hahahahah
Kwani talaka zipo kwa kazi gani wifi?Bora uende jelaaa eeeh kama hakupendi akikuoa utakoma kwa visaaa
Ndio mana nakupendasijafika hata
Ebu kwanza nikumbuke nahisi zhongtong(shabibi) moja inajaa ....hebu hesabu siti za hiyo bus kwanza sasa dah sijui yupi ni yupi aseee.......Hahahahahahahah uwiiiii una ma x wangapi shooo sasa hapo ni mtihani loooh
ExactlyKuolewa na mtu ambaye huna upendo naye ni sawa na kifungo cha maishaaaa
Etii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkwe!jela halafu wanangu je?umbea wa mjini unipitee[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
Tuliaaadouble standard
Ndo maana simpi chura wangu mmbea huyuShangaa na wewe wakunyumba
Akaaa. Kutiana sugu za k tu inahusuKuliwa na ke mwenzako ni rahaaa bhn bora niende jelaaaa
Ukamkubalia au ulishamsahauHahahahahahah huu ujinga me nshawahi kumwacha mtu wakati nampenda mpk akili inasoma 0% aseee.....ila ye hakunipenda hata kidogo ...nilipiga moyo konde nikamwacha ....ila nikawa nalia tuuuu nilikondaaa ila sikumtafutaaaa nikakomaa hvyohvyo ......eti baada ya mwaka anakuja kuniomba msamaha uuuwiiii hahahahah
Inakua ndoa ya makashkash[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha kama ni kukulwa na ke mwenzangu nipo tayari ila siyo x maana simpend tena hata akinikula stafika kileleni
Ndo maana simpi chura wangu mmbea huyu
Me bwana jela!..Hayo yote umeyajulia wapi?