Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Uende jela ukakutane na wababe wakupige upelekwe muhimbili ufe wazazi wako walie no no noYaan mimi nikanyee debe mimii kweliiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uende jela ukakutane na wababe wakupige upelekwe muhimbili ufe wazazi wako walie no no noYaan mimi nikanyee debe mimii kweliiii
Jela utapauka Ex wangu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasomasoma kwanza comment kwanza hapaHahahaha nasubiria neno hapo
Bora kukosa amani kwenye ndoa kuliko kwendaa kugeuka chakula cha nyapara wa kike jelaHahahah huoni kama unajifunga kifungo cha maisha hakuna amani ndani ya nyumba
Hivi nao wanawakula wakike wenzao eeeenh!?Bora kukosa amani kwenye ndoa kuliko kwendaa kugeuka chakula cha nyapara wa kike jela
Hapo sasaMy ex girlfriend is my future wife, Who knows tomorrow?!..
Ndo nimeshangaa mbona mi simjui huyo anaeongelewaYaan huyu ni mbea jamani khaaa kwahiyo jf humu tukiitana mababy basi tunakulana mfyuuuuu
Hawaelewi hawa.Hawa wanaleta utani na jela hv wanapajua kwel, Nikiwaangalia ex wangu ahaa fresh tu mbona narudsha majesh
anaelia kuhusu ex wake hajui thamani yake na hajajitambua badoexactly...
mwingine Ile mmeachana unavomtafuta tafuta sijui mameseji kibao ndo unampa kichwa unamvimbisha anajiona yesssss huyu kwangu hachomoi.........kula ngumu ngumu tu asee... experience the difference NAFIA JELAA.
wanaolia lia kwa ex zao nawadharaaaauuuuuuuu!!!!! Wanashindwa kukontrol hisia zao like no body like you ex my foot
Cc Smart911
Chambaaa ndugu yanguWewe acha kufatilia ya watu fanya yako mwanaume wa dar unakuwa mbea acha kuchukulia kila kitu cha chit chat ni serious utakufwa kabla ya siku zako
sijafika hataNakwambia ukienda ukirudi usinitafte
Huu mtihani x yupi sasa maana wengine tuna maex wa kutosha ....
.
Any way kama nilimuacha Mimi Niko tayar kuolewa nae ila kama aliniacha bora nifungwe
Etiii. Kuliko kwenda jela bora nirudi mkoani nikaishi na baba mtotoMs chura unaanzaje kumkataa baba mtoto wako kwa mfano?![emoji28][emoji28][emoji28]