SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Huu mtihani x yupi sasa maana wengine tuna maex wa kutosha ....
.
Any way kama nilimuacha Mimi Niko tayar kuolewa nae ila kama aliniacha bora nifungwe
 
exactly...

mwingine Ile mmeachana unavomtafuta tafuta sijui mameseji kibao ndo unampa kichwa unamvimbisha anajiona yesssss huyu kwangu hachomoi.........kula ngumu ngumu tu asee... experience the difference NAFIA JELAA.

wanaolia lia kwa ex zao nawadharaaaauuuuuuuu!!!!! Wanashindwa kukontrol hisia zao like no body like you ex my foot


Cc Smart911
anaelia kuhusu ex wake hajui thamani yake na hajajitambua bado

Hivi mtu umekua naye mmeishi anakufanyia visa umevumilia wee umeona ujiondokee anakutafta nawe unajib mapigo aisee naona kama kwangu n ngum sana ni sawa na matapishi nineyatapika siwez kuyarudisha kinywani

Niwe sjaamua kuachana na wewe, nitakutafta usiku na mchana tena ntafight so hard turudiane

Niamue tu basi yan nimekubali tuachane kwa kweli atafrahi mana nitamuignore so hard ye mwenyewe aanze kudoubt his existence

Haijalishi tuliachana kwa ubaya au kwa uzuri lakini kwangu ex ni ex tu ni example ya mtu nisietakiwa kua naye baadae na muda wake umesha expire
 
Back
Top Bottom