SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

X wangu wa 1 nilimwacha sababu hana hela.
X wa pili nilimwacha sababu ya dini pale nilipotaka kuingia maisha ya ndoa.
X wa kwanza sasa hivi ana hela sasa Mimi ni nani hata nisirudi kwake niende jela???
 
X wangu wa 1 nilimwacha sababu hana hela.
X wa pili nilimwacha sababu ya dini pale nilipotaka kuingia maisha ya ndoa.
X wa kwanza sasa hivi ana hela sasa Mimi ni nani hata nisirudi kwake niende jela???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeenjoy sana
 
ulishawahi kwenda jela weweeeeeeeeee au ulitaka kunogesha uzi?

Ila nayo inategemea na ntu na ntu maana X wako unamfahamu mwenyewe na mateso uliyopata ukijaribu kupima ubavu unaona ni bora mateso mengine makali ya mwaka mmoja kuliko hayo ya maisha, basi bwana inategemea
 
Umenena vema kwanza mm huwa napenda ila ukishanikosea mpaka niseme inatosha amini nakwambia siwez kukupenda tena kama zaman siwez kabisaa yawezekana nina shida kwenye moyo wangu lakini nikishasema basiii huwa ni moja kwa moja siwez kukurudia kamwe.
 
Kila mwanamke anaomba istara,sifa ya mwanamke ni kuolewa,ukitaka kujijua ama kujiona huna thamani,uwe MSIMBE
 
Hivi jera pana unafuu kuliko X wenu?
Kweli kuna watu mlikuwa katika mapenzi na MONSTERS!!
 
Tueleze alikutenda nini ili tujue tunakusaidia vipi,kwani yawezekana huo uamuzi uliochukua si sahihi...
 
Back
Top Bottom