Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

Kabisa yaani.
 
Kama hata hujui kwamba korosho ziliporwa huko mkoa ya kusini 2017 basi wewe kweli una degree ya ku copy na kupest. Nilikuwepo mikoa hugo najua kilichotokea
Mbona wakulima hawalalamiki wanalalamika wapinzani.......?!

Wewe binafsi umeshawahi kwenda huko shambani kukutana na wakulima kuona hali halisi ya wakulima wa korosho na kuthibitisha kuwa wamenyang'anywa hizo korosho na kutolipwa.....?!
 
Unachanganya mambo...... Kuwa mnyonge haikupi nafasi ya kuvunja sheria na taratibu za inchi.
 
Wewe jamaa kuwapa eti watu "confidence " wafuasi wanatetea udhalimu!!
 
Bashite,Amos Makala,Mrisho Gambo,Humphrey Pole pole,Happy,Chalamila,Ole Sabaya,Kihongosi,Ndugai,Tulia Ackson na Chato.
 
Mbona Makonda hakushughulikiwa au Gwajima msukuma mwenzie alikuwa anadanganya???
 
Waliopiganiwa wanajijua, kama wewe sio mmoja wao shukuru na kaa kimya.
 
Wizara ya ardhi, mipango miji inafanyaje kazi mpaka watu wapate hasara?
 
Na Magufuri akiwa kweny baraza la mawaziri nyakati hizo alishiriki 100%
 
Mbona Makonda hakushughulikiwa au Gwajima msukuma mwenzie alikuwa anadanganya???
Kama yeye alijua hana vyeti feki na ndie aliye muajiri basi wewe unayejua na uhakika kuwa makonda ana vyeti feki hebu tuletee ushahidi hapa.....


Vyeti ni nyaraka za mtu binafsi kama cheti cha kuzaliwa. Kama hakuviweka hadharani wewe ulijuaje kuwa ni feki?!
 

Mataga wanaleta propaganda tu ,wanyonge ni wafanyakazi ambao hajawapandishia mshahara hata mia kipindi cha miaka 6.
 
Reactions: BAK
Bashite ni Fa Fa Fa Fa fa Fa Fa kama Lameck Madilu......Hata Jiwe naye Phd ilikuwa feki tuwe wakweli au naongea uongo ndugu zangu? Ben ndio ilimcost kuhoji Pdh ya mtu "FURANI".
 
Reactions: BAK
Hilo ndilo kosa la waumini wa kuburuzwa buruzwa wale wa vyeti feki walijulikanaje?
 
Na Magufuri akiwa kweny baraza la mawaziri nyakati hizo alishiriki 100%
Alishiriki kufanya kitu gani hebu nipe mfano wa ushiriki wake hapa ambao ulionekana hicho kipindi na watu wakaona wazi wazi kuwa ameamua kushiriki jambo batili kisheria kisha leo akalipinga tena jambo hilo hilo hebu tupe huo mfano.

Na usinambie kuhusu yeye kuwa baraza la mawaziri na unajua wazi kuwa pale yeye hana last say bali wanaplan tu baadhi ya maswala ya wizara na raisi ndie anaekubali au kukataa kulingana na ushauri na kura za mawaziri katika jambo lolote.

Mfano, magufuri alikuwa na lengo la kuclear ujenzi holela usiofuata taratibu tokea akiwa waziri na alikuwa akizuiliwa kufanya hivyo mara kadhaa hadi kutamani kuachia ngazi.

Si unakumbuka ile isse ya ubungo pale..... Si unakumbuka issue ya kule coco Beach.......?!

Mambo ni mengi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…