KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kwanini unaendelea kugawa namba kwa wanaume wanaoonyesha nia ya kukutaka kimapenzi wakati tayari uko kwenye mahusiano na mwanaume wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hutoi namba?Ukiwauliza hao wanaofanya ivyo wanakujibu nini🤷♀️👋
umerukaruka na stanza zako lakini haujajibu kwanini mnafanyi hizo mambo.Kwenye mahusiano yapi?...kupigana miti tu,uchumba au ndoa...tuanzie hapo kwanza.
Maana kiuhalisia wanandoa ndo hugawa namba sana kuliko wa kupigana miti tu.
Anyway,turudi kwenye mada...sidhani kama matatizo yote unatatuliwa na huyo tu uliyenaye.
Tukirudi kwenye uhalisia:kwa binti au mwanamke yeyote anaetaka kuolewa...usibane namba ...yaan toa namba ,yaan toa tu namba...sidhani kama hujui kuwa huyo uliyenaye ni timu kataa ndoa...wanatuzugia ndoa ili watukojolee......
nimekusoma ccy😊Kwenye mahusiano yapi?...kupigana miti tu,uchumba au ndoa...tuanzie hapo kwanza.
Maana kiuhalisia wanandoa ndo hugawa namba sana kuliko wa kupigana miti tu.
Anyway,turudi kwenye mada...sidhani kama matatizo yote unatatuliwa na huyo tu uliyenaye.
Tukirudi kwenye uhalisia:kwa binti au mwanamke yeyote anaetaka kuolewa...usibane namba ...yaan toa namba ,yaan toa tu namba...sidhani kama hujui kuwa huyo uliyenaye ni timu kataa ndoa...wanatuzugia ndoa ili watukojolee......
Sisi wenyewe hatuelewi kwanini tunatoaKwanini unaendelea kugawa namba kwa wanaume wanaoonyesha nia ya kukutaka kimapenzi wakati tayari uko kwenye mahusiano na mwanaume wako?
umejibu vyema 👊Namba kutoa muhimu maana mkishatuoa au tukishawakubalia kuwa na mahusiano mnajisahau sana yaani mnabweteka!
That's it cute😉nimekusoma ccy😊
punguza ukweli To yeye 😂Kwenye mahusiano yapi?...kupigana miti tu,uchumba au ndoa...tuanzie hapo kwanza.
Maana kiuhalisia wanandoa ndo hugawa namba sana kuliko wa kupigana miti tu.
Anyway,turudi kwenye mada...sidhani kama matatizo yote unatatuliwa na huyo tu uliyenaye.
Tukirudi kwenye uhalisia:kwa binti au mwanamke yeyote anaetaka kuolewa...usibane namba ...yaan toa namba ,yaan toa tu namba...sidhani kama hujui kuwa huyo uliyenaye ni timu kataa ndoa...wanatuzugia ndoa ili watukojolee......
Kama una upeo mzuri majibu yako waz hapoumerukaruka na stanza zako lakini haujajibu kwanini mnafanyi hizo mambo.
kwanini utoe namba kwa wanaume wengine kwa nia ya kutongozwa wakati upo kwenye mwahusiano?
Tunatesti mitamboSisi wenyewe hatuelewi kwanini tunatoa
,lakini na mimi niulize swali nanyinyi kwanini mnaomba namba wakati mnawapenzi wenu
IKwamba wanaume wanaoomba namba huwa wako single sio?
Tumaswali twa ivi ni twa kuuliza jinsia zote mzee