Swali chokozi kwa wanawake wote walio kwenye mahusiano

Swali chokozi kwa wanawake wote walio kwenye mahusiano

Kwenye mahusiano yapi?...kupigana miti tu,uchumba au ndoa...tuanzie hapo kwanza.

Maana kiuhalisia wanandoa ndo hugawa namba sana kuliko wa kupigana miti tu.

Anyway,turudi kwenye mada...sidhani kama matatizo yote unatatuliwa na huyo tu uliyenaye.

Tukirudi kwenye uhalisia:kwa binti au mwanamke yeyote anaetaka kuolewa...usibane namba ...yaan toa namba ,yaan toa tu namba...sidhani kama hujui kuwa huyo uliyenaye ni timu kataa ndoa...wanatuzugia ndoa ili watukojolee......
Ila we dada una hatari Sana,dah!
 
images (6).jpeg
5CA3C883-75F2-47A8-BEB2-9838AE34740A.jpeg
 
Back
Top Bottom