Swali chokozi kwa wanawake wote walio kwenye mahusiano

umerukaruka na stanza zako lakini haujajibu kwanini mnafanyi hizo mambo.

kwanini utoe namba kwa wanaume wengine kwa nia ya kutongozwa wakati upo kwenye mwahusiano?
 
nimekusoma ccy😊
 
punguza ukweli To yeye 😂
 
leo nimeomba namba mdada mrembo akanipatia alafu baadaye namuomba date...ananiambia mke wa mtu...duuh nimechoka skuuliza mara mbili nikaamua kufuta namba yake...nayajua maumivu ya jamaa yake akisikia nko na mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…