Elections 2010 Swali dogo kuhusu kampeni

Elections 2010 Swali dogo kuhusu kampeni

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
attachment.php

Hapo juu ni Handeni, na hapa chini ni Mrorogoro.

attachment.php

Kwa nini pikipiki hizo zinafanana sana, na hata waendeshaji wanaelekea kuwa na tabia zinazofanana ?.
1.jpg
wapanda pikipiki wakimpokea JK morogoro.jpg
 
Hivi huu upuuzi wa kumwita Kikwete Dr. nilidhani wanaufanya kama utani tu, kumbe hata kwenye official posters wameweka hivyo. Kweli kazi tunayo. Dr.Kikwete? kwani asijiite Prof.kabisa?
 
Mkuu sioni tatizo lolote. Hawa jamaa wanafanya biashara. Ukiwapa pesa wanakufanyia kazi yako. Na hicho ndicho wanachikifanya kwa kutumia pesa tunazoibiwa. Laiti wangeishia hapo ili wakiingia kwenye sanduku la kura wawe mbayu wayu. Nadhani hizi nguo za kijani zina uchawi fulani au ni majini ya Shekh Yahaya Husseini, vinginevyo inakuwa vigumu kuamini jinsi watu wanavyokenua meno kwa kushangilia na kusherehekea shida zao zinazoletwa na hao wanaowashabikia!
 
Hawa ni watanzania ambao kikatiba wanauhuru wa kuchagua chama chochote wanachokipenda.Kwamba wameamua kuiunga mkono na kuipigia kampeni CCM kutokana na kuona mambo mbalimbali ya kimaendeleo yaliyoletwa na serikali ya CCM.Hivyo,usiwalazimishe kujiunga na chama ambacho wewe unakipenda.Watanzania siyo wajinga hivyo,wanavijua vizuri sana vyama vyote vya siasa hapa nchini pamoja na mikakati yake
 
............Hawa jamaa wanafanya biashara. Ukiwapa pesa wanakufanyia kazi yako............
Sad, lakini ndio ukweli wenyewe.
Mama Ngina wangu ananiambia gardener wake amepotea tangu day 1 ya kampeni za CCM.
Amekutana naye juzi kitambi kimeota!! Kamwambia kurudi kwenye u-gardener tene labda November.
Kazi ipo....
 
Hawa ni watanzania ambao kikatiba wanauhuru wa kuchagua chama chochote wanachokipenda.Kwamba wameamua kuiunga mkono na kuipigia kampeni CCM kutokana na kuona mambo mbalimbali ya kimaendeleo yaliyoletwa na serikali ya CCM.Hivyo,usiwalazimishe kujiunga na chama ambacho wewe unakipenda.Watanzania siyo wajinga hivyo,wanavijua vizuri sana vyama vyote vya siasa hapa nchini pamoja na mikakati yake

Hatuhitaji wachukue kadi za upinzani, Tunahitaji wapate Elimu na wajue kuwa hizo posho wanazopewa leo zinagharama kubwa sana kwao wenyewe na kwa familia zao. Kwani watao teseka ni ndugu na Jamaa zao, kwa kukosa zahanati, elimu bora, barabara, megu bora, Bei na soko la mazao yaho.

KIFUPI KULA CCM NA KURA UPINZANI!
 
hivi huu upuuzi wa kumwita kikwete dr. Nilidhani wanaufanya kama utani tu, kumbe hata kwenye official posters wameweka hivyo. Kweli kazi tunayo. Dr.kikwete? Kwani asijiite prof.kabisa?

au cause dr slaa, jk ona aibu yaani unadhani u dr uapatikana kirahisi hivyo?
 
inatia shaka sana hizi pikipiki,

  1. kwanza hazina namba
  2. pilki jamaa hawajafuata sheria za barabara, wamevua helmet wameweka kapelo
  3. tatu wanacheza barabaranibila kujali athari zake

kweli kama tunashindwa hata ku-enforce sheria rahisi kama hizi tutaweza kweli kushinda wizi wa kalamu, uvivu, ushirikina na majungu??

its just pathetic

Corrosive...
 
Kibanga hii imetulia'kula CCM na kura Chadema"
Unajua unaitaji kuwa na a settled mind kujua kuwa a miserable life these people are living in is bse of CCM ambayo TZ kwa 50 years bado ni mtoto ambae bado analelewa na wafadhili.
Gradually things will improve
 
Nafikiri mwandishi wa mada anauliza kama hizi pikipiki ni moja ya matumizi ya CCM kumwaga pikipiki kwa vijana kama Takrima ya kura zao kwa chama CCM..au hawa ni kati ya wapiga debe wamepewa pikipiki kuzitumia kukitangaza chama.
 
:becky: tatizo nini??? chadema hawana au?! jibu mbona lipo wazi ni pikipiki za kampeni za CCM, Kwasababu hiki ni kipindi cha kampeni

Kwa vile ni za CCM ndiyo maana zinaruhusiwa kutembea bila kuwa na namba? Kwa hiyo ni wazi kuwa hao vijana ni waajiriwa wa CCM siyo kuwa ni raia wa kawaida wanaoifurahia CCM?
 
:becky: tatizo nini??? chadema hawana au?! jibu mbona lipo wazi ni pikipiki za kampeni za CCM, Kwasababu hiki ni kipindi cha kampeni
issue si pikipiki za nani, issue ndo usalama barabarani huo??

pole
 
Kwa vile ni za CCM ndiyo maana zinaruhusiwa kutembea bila kuwa na namba? Kwa hiyo ni wazi kuwa hao vijana ni waajiriwa wa CCM siyo kuwa ni raia wa kawaida wanaoifurahia CCM?

hazina namba kwa ajili hazijalipiwa kodi
baada ya uchaguzi hao wenye pikipiki ndio zitakuwa zao na wenye magari(vigogo) yatakuwa yao
 
hazina namba kwa ajili hazijalipiwa kodi
baada ya uchaguzi hao wenye pikipiki ndio zitakuwa zao na wenye magari(vigogo) yatakuwa yao

Je, kuendesha pikipiki ambayo haijasajiriwa siyo kosa?
 
Mkuu sioni tatizo lolote. Hawa jamaa wanafanya biashara. Ukiwapa pesa wanakufanyia kazi yako. Na hicho ndicho wanachikifanya kwa kutumia pesa tunazoibiwa. Laiti wangeishia hapo ili wakiingia kwenye sanduku la kura wawe mbayu wayu. Nadhani hizi nguo za kijani zina uchawi fulani au ni majini ya Shekh Yahaya Husseini, vinginevyo inakuwa vigumu kuamini jinsi watu wanavyokenua meno kwa kushangilia na kusherehekea shida zao zinazoletwa na hao wanaowashabikia!

wewe umenena kweli hizo nguo hata ukiwa na akili timamu ukizivaa tu unakuwa mocked
 
chakushangaza CCM ina wagombea wengi ambao ni ma'profesa, mfano. prof mwandosya, prof maghembe, prof mwakyussa, PROFESA MAJI MAREFU na wengine wengi. so dr. kikwete.......................
 
nilikutana na mgombea ubunge wa ccm, aknihakikishia kuwa, kama huwezi kutoa usafiri wa bure na posho kidogo, kwa upande wa ccm huwezi kupata wasilikilizaji kwenye kampeni zako
 
Back
Top Bottom