Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sad, lakini ndio ukweli wenyewe.............Hawa jamaa wanafanya biashara. Ukiwapa pesa wanakufanyia kazi yako............
Hawa ni watanzania ambao kikatiba wanauhuru wa kuchagua chama chochote wanachokipenda.Kwamba wameamua kuiunga mkono na kuipigia kampeni CCM kutokana na kuona mambo mbalimbali ya kimaendeleo yaliyoletwa na serikali ya CCM.Hivyo,usiwalazimishe kujiunga na chama ambacho wewe unakipenda.Watanzania siyo wajinga hivyo,wanavijua vizuri sana vyama vyote vya siasa hapa nchini pamoja na mikakati yake
hivi huu upuuzi wa kumwita kikwete dr. Nilidhani wanaufanya kama utani tu, kumbe hata kwenye official posters wameweka hivyo. Kweli kazi tunayo. Dr.kikwete? Kwani asijiite prof.kabisa?
:becky: tatizo nini??? chadema hawana au?! jibu mbona lipo wazi ni pikipiki za kampeni za CCM, Kwasababu hiki ni kipindi cha kampeni![]()
Hapo juu ni Handeni, na hapa chini ni Mrorogoro.
![]()
Kwa nini pikipiki hizo zinafanana sana, na hata waendeshaji wanaelekea kuwa na tabia zinazofanana ?.
View attachment 13544
View attachment 13545
:becky: tatizo nini??? chadema hawana au?! jibu mbona lipo wazi ni pikipiki za kampeni za CCM, Kwasababu hiki ni kipindi cha kampeni
issue si pikipiki za nani, issue ndo usalama barabarani huo??:becky: tatizo nini??? chadema hawana au?! jibu mbona lipo wazi ni pikipiki za kampeni za CCM, Kwasababu hiki ni kipindi cha kampeni
Kwa vile ni za CCM ndiyo maana zinaruhusiwa kutembea bila kuwa na namba? Kwa hiyo ni wazi kuwa hao vijana ni waajiriwa wa CCM siyo kuwa ni raia wa kawaida wanaoifurahia CCM?
hazina namba kwa ajili hazijalipiwa kodi
baada ya uchaguzi hao wenye pikipiki ndio zitakuwa zao na wenye magari(vigogo) yatakuwa yao
Mkuu sioni tatizo lolote. Hawa jamaa wanafanya biashara. Ukiwapa pesa wanakufanyia kazi yako. Na hicho ndicho wanachikifanya kwa kutumia pesa tunazoibiwa. Laiti wangeishia hapo ili wakiingia kwenye sanduku la kura wawe mbayu wayu. Nadhani hizi nguo za kijani zina uchawi fulani au ni majini ya Shekh Yahaya Husseini, vinginevyo inakuwa vigumu kuamini jinsi watu wanavyokenua meno kwa kushangilia na kusherehekea shida zao zinazoletwa na hao wanaowashabikia!