Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda kufanya mazoezi tu? Kama ni hivyo kwa nini timu zote mbili ziende Morocco?