SWALI: Endapo Rais Samia ataelewa kilio cha wananchi, atarudisha tena Bungeni?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari.

Hapa TEC mambo ni moto sana.

Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule wa Mbunge wa Kisesa - Mpina kama mambavyo inajadiliwa hapa TEC.

Je, Atarudisha tena Bungeni kujadiliwa?. Bunge letu litakuwa kwenye hari ipi? Livunjwe ama liedelee tu.
 
Kenya pia yalitokea haya haya. Ila mwisho wa siku walitupiliwa mbali proposal yao na kuhamishia kambi Tanzania. Ila DP World first bid ilikuwa ni bandari za Kenya.

Vivyo hivyo itatokea Tanzania, kama hawatalegeza masharti yao, watatupiliwa mbali tu, hakuna kitachorudishwa bungeni.

Sipati picha next presdent atavyokuwa anananga maamuzi ya SSH.
 
WaBunge asilimi 90 ni ccm, ngoja wakomoe ili hali mkataba ni null and void ab nitio kwa kilatini, Trustee hana mamlaka ya kukasimisha mali za nchi- she is acting utra vires kama wanavyosena wenyewe- beyond the scope of her autroity. Serikali na bunge ni la Jamhuri ya Muungano, kinacho gawiwa kwa DP word ni mali ya Tanganyika- mali za zanzibar hazimo, halafu serikali ya Tanganyika haijaridhia chochote, sasa ngoja, kama hawa waarabu ni wajinga, ngoja wasaign , halafu mkataba uongozwe kwa sheria za uingereza muone watakavyo pigwa china kwa njia rahisi sana- kwamba serikali ya Jamuhuri haikuwa na mamlaka ya kukasimisha mali za Tanganyika bila ridhaa zao... ndio maana watu wanasema kuwa serikali tatu ni muhimu- ccm pazeni shingo, uzuri ni sheria za uingereza zitatumika. Manguko mtakuwemo kwenye historia tu mtake msitale kama munaongozwa na PhD ushwara.
 
Hii inaweza kuwa kama ile ya na Net group au Richmond au IPTL. .
 
Umeshasema endapo ATAELEWA, kumbuka hawezi KUELEWA sasa hivyo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa kusubiri anengue.
 
Aelewe mala ngapi ana kaza bichwa tu .wanawake na visirani vya ajabu ndo ana kua rais wa nchi .tena ana toka kule wanapo jionaga hawana thamani
 
WaBunge asilimi 90 ni ccm, ngoja wakomoe ili hali mkataba ni null and void ab nitio kwa kilatini, Trustee hana mamlaka ya kukasimisha mali za nchi- she is acting utra vires kama wanavyosena wenyewe- beyond the scope of her autroity. Serikali na bunge ni la Jamhuri ya Muungano, kinacho gawiwa kwa DP word ni mali ya Tanganyika- mali za zanzibar hazimo, halafu serikali ya Tanganyika haijaridhia chochote, sasa ngoja, kama hawa waarabu ni wajinga, ngoja wasaign , halafu mkataba uongozwe kwa sheria za uingereza muone watakavyo pigwa china kwa njia rahisi sana- kwamba serikali ya Jamuhuri haikuwa na mamlaka ya kukasimisha mali za Tanganyika bila ridhaa zao... ndio maana watu wanasema kuwa serikali tatu ni muhimu- ccm pazeni shingo, uzuri ni sheria za uingereza zitatumika. Manguko mtakuwemo kwenye historia tu mtake msitale kama munaongozwa na PhD ushwara.

Mkiandika kwa umahiri na taaluma yenu ya sheria liko jina lenu jipya la kubwatizwa na wapiga zumari wa sultani/mfalme wa Dubai nyie ni wapotoshaji. Kwamba ukweli na uwazi hautakiwi tena. Wakati unatoa hoja na kuuliza swali kwa mujibu ya maelezo ya nyaraka ya mkataba bado utaambiwa ni hoja za kutunga. Mkataba unahusisha bandari na Raslimali za Tanganyika tu . Watu wakiuliza kwa nini Zanzibar haipo wanaambiwa ni upotoshaji.
 
Back
Top Bottom