Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake).
Je, ni kweli hawa watu ni Viongozi wetu au wawakilishi wetu?! Na kama ni Viongozi wetu, vipi kuhusu hawa wabunge wa vitu maalumu na wa kuteuliwa ni viongozi wa Nani?!
Wanaojua jambo hili Tafadhali tuelimishe sie tusiojua.