Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I dont think it is the problem of people being idle. Ngono ni utamaduni ambao umejengeka kwenye mindset na ilitakiwa viongozi wenye maono kuondoa ila ndivyo hivyo tena... hatuna. Unakuwa na viongozi wenye maono ya Magufuli unadhani hata wangefanya kazi namna gani ingesaidia? NB: sikatai kwamba kuwa idle kunachangia ila siyo sababu kuu. KIpindi cha Nyerere kulikuwa na kampeni kubwa sana ya uzazi wa mpango na ingeendelea mapaka sasa ungekuta watu wengi wanajitambua.Population control imefeli afrika sababu ya nature ya waafrika.
Ukiwa iddle ni lazima utawaza ngono tu kama starehe nyepesi. Hakuna mifumo inayotubana tufanye Kazi Ili tuishi wajomba ni wengi tofauti na ulaya Mjomba ni akili yako.
Kama tusingedai UHURU tungekuwa na mifumo ya maendeleo kama wao ambayo ingepunguza gap la umasikini, KWA maana tungekuwa na middle income wengi zaidi kuliko masikini
Correct 100%Viongozi hawapo kwa ajili yako, afrika uongozi ni ajira binafsi na sio wito wa kuipigania jamii, thus mifumo yetu ya sheria inawaogopa au ni butu kwa Wala rushwa na mafisadi
AgreedKuhusu swala idadi ya watu na maendeleo binafsi Nakuunga mkono ni Bora uwe na idadi ndogo ambayo ina tija kuliko ilivyo sasa watu shazi lkn matokeo hakuna
Idadi kubwa ya watu wajinga na mizigo ina umuhimu gani kwa nchi na maendeleo yake ?Idadi kubwa ya Watu ni muhimu sana tena sana
Afrika uongozi ni ajira na sio witoWewe ndugu ulipaswa ndio uwe mvaa suti na ukae kwenye kota za watunga sera. Inamana viongozi wenye dhamana wana upofu wa kutotambua mawazo haya?
Hao wajinga watachimba mitaro,watafanya kazi ngumu nkIdadi kubwa ya watu wajinga na mizigo ina umuhimu gani kwa nchi na maendeleo yake ?
Ambazo hizo kazi zilipaswa kufanywa na mashine kwa asilimia kubwaHao wajinga watachimba mitaro,watafanya kazi ngumu nk
Huku Nchi za wenzetu uliwahi kuona any construction activity imejaa mashine tupu bila vibarua?Ambazo hizo kazi zilipaswa kufanywa na mashine kwa asilimia kubwa
Umewahi kutembelea nchi yoyote iliyoendelea? Hizo kazi za mitaro unazosema zinafanywa na wataalamu. Hlafu kazi ngumu sio lazima zifanywe na wasiokuwa na elimu kubwa. Kinachotakiwa ni kuimarisha mifumo ya technolojia ili isitumike nguvu kubwa sana, bali sayansi tu. Japo mannual work sikatai kwamba hazipo maana hata Ulaya zipo. Ila ni kazi zenye heshima ambapo mtu anafanya na anaweza kwenda vacation hata mara 3 kwa mwaka. Namnisha vacation ya kwenda hata nje ya nchi kufurahia maisha huko...Hao wajinga watachimba mitaro,watafanya kazi ngumu nk
Rejea nilicho kuuliza awali na ulicho jibuHuku Nchi za wenzetu uliwahi kuona any construction activity imejaa mashine tupu bila vibarua?
Ila we jamaa unajua umuhimu wa watu katika uchumi..?.kabla hujamuita mtu mjinga unatakiwa ufikiri kile alichokifikiri kipindi anahamasisha watu wazaliane kwa wingi..Bwana Kiranga haya yalishapatiwa majibu wakati wa kipindi cha awamu ya kwanza cha Nyerere. Kulikuwa na kampeni kabambe ya kuzaa kwa mpango na kulikuwa na chama kinaitwa UMATI (uzazi wa mpango Tanzania). Haya mambo karibu kila mwananchi alikuwa anayajua ila nashangaa wasomi wa siku hizi wanaturudisha tena nyuma miaka ya 60 na 70. Ni yule mjinga Magufuli aliwamwagia sumu na kwa sababu nchi yetu imejaa nyumbu watu wameanzisha tena mijadala.
Hakuna mtaalamu atachimba mtaro au kuchapia ukuta,hizo ni kazi za mafundi Wala hazihitaji Elimu Bali skills za kuona na Kutenda.Umewahi kutembelea nchi yoyote iliyoendelea? Hizo kazi za mitaro unazosema zinafanywa na wataalamu. Hlafu kazi ngumu sio lazima zifanywe na wasiokuwa na elimu kubwa. Kinachotakiwa ni kuimarisha mifumo ya technolojia ili isitumike nguvu kubwa sana, bali sayansi tu. Japo mannual work sikatai kwamba hazipo maana hata Ulaya zipo. Ila ni kazi zenye heshima ambapo mtu anafanya na anaweza kwenda vacation hata mara 3 kwa mwaka. Namnisha vacation ya kwenda hata nje ya nchi kufurahia maisha huko...
Ndio maana nikakuuliza umewahi kutembelea nchi zilizoendelea? Nchi zilizoendelea kazi za ujenzi hazifanywi na washinda juani kama bongo... Mfano Ulaya vitu vingi (sio vyote) vinafanyika kwa machine. Sasa unaweza okota mtu mtaani akaweza ku-operate machine ya kuchimba mtaro bila ya kuw ana skills?Hakuna mtaalamu atachimba mtaro au kuchapia ukuta,hizo ni kazi za mafundi Wala hazihitaji Elimu Bali skills za kuona na Kutenda.
Ni kweli.Bwana Kiranga haya yalishapatiwa majibu wakati wa kipindi cha awamu ya kwanza cha Nyerere. Kulikuwa na kampeni kabambe ya kuzaa kwa mpango na kulikuwa na chama kinaitwa UMATI (uzazi wa mpango Tanzania).
Haya mambo karibu kila mwananchi alikuwa anayajua ila nashangaa wasomi wa siku hizi wanaturudisha tena nyuma miaka ya 60 na 70.
Ni yule mjinga Magufuli aliwamwagia sumu na kwa sababu nchi yetu imejaa nyumbu watu wameanzisha tena mijadala.
Huku ni kufikiria ukiwa umejifungia ndani ya box. Inaonyesha jinsi elimu yetu ilivyo ya kiwango cha chini.Ila we jamaa unajua umuhimu wa watu katika uchumi..?.kabla hujamuita mtu mjinga unatakiwa ufikiri kile alichokifikiri kipindi anahamasisha watu wazaliane kwa wingi..
Unajua watu ndiyo soko la bidhaa zinazozalishwa na viwanda na hayati Magufuli alikuwa na agenda ya kuhamasisha ujenzi wa viwanda vingi hapa nchini ili kuzalisha bidhaa zenye soko la uhakika..kwa hiyo ingesaidia kuimarisha makusanyo ya kodi ambayo ingetumiwa na serikali kujenga na kuimarisha huduma za kijamii na miundombinu..
Pia idadi kubwa ya watu itasaidia kuongeza matumizi ya huduma za kijamii kama maji , umeme, afya, n.k.hii itasaidia kuongeza mapato serikalin...
Yote haya yanasaidia katika kukuza uchumi wa nchi yetu...alafu hata hao wazungu kipindi wanaanz kujenga nchi zao pia walikua na idadi kubwa sana ya watu na walikua na viwanda vingi sana hivyo walizalisha na kuuza na bidhaa nyingine kukosa masoko na kuanza kutafuta masoko nje ya nchi zao ndo ikabidi kuja huku africa na huko asia ili kupata wateja wapya kwa kubadilishana madini kwa bidhaa za viwandani..
So watu ni rasirimali katik ukuaj wa uchumi kikubw ni serikal kuwek misingi mizuri kutumia rasirimali watu kwa ukuaji wa uchumi...
#fikiri kabla ya kuzungumza.
#mdomo huponza kichwa.