SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

Aloo bora usingizini tena uwe na jiko la mkaa pembeni yani unakufa kama redio iliozidiwa na umeme.
 
Karibu Asilimia 95 ya vifo vya mwanadamu hutokana na uzembe wake mwenyewe na ukosefu wa maarifa.

Hakuna mungu aliyeumba kifo wala anayepangia watu vifo.
 
Dunia inionee huruma, nisiumwe, one time and there i am dead,hata usingizini. Nipitilize.
 
Back
Top Bottom