Swali fikirishi: Kitendo cha Kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu, sio kwamba ni maono ya mwisho mchungu wa utawala wa Magufuli?

Ona kama huyu alijipa vyeo lukuki kana kwamba ndio anamiliki dunia nzima ila mwisho wake ukawa wa aibu....alishindwa kuconquer hata kijiji kimoja nyumbani kwao
images%20(26).jpg
 
Ona kama huyu alijipa vyeo lukuki kana kwamba ndio anamiliki dunia nzima ila mwisho wake ukawa wa aibu....alishindwa kuconquer hata kijiji kimoja nyumbani kwaoView attachment 1722803
Wote waliokulia kwenye ufukara wakipata nafasi uhisi wanamiliki dunia,mtu nyuma miaka 40 iliyopita unasoma kilometa kumi shule unashindia viporo vya mihogo,unagombea matunda pori na tumbili leo Mungu kakupa nafasi ya kuchunga kondoo sikio linazidi kichwa wote hawana akili ila wewe tu unaingilia Hadi Kazi isiyo yako kutoa roho za watu. ,dunia ukijiiinua inakushusha,Mungu aliumba dunia kwenye kanuni ukizikiiuka zitakuadhibu.Huwezi kuwa bora kama ujashiba dini.
 
Hata akitoka anaweza akawa na brain damage, au ulemavu mwingine wa maradhi yategemeayo moyo.

Au akawa annaishi kwa mashine kama alivyo mfanyia mama yake mzazi pale Chato.

Wanadamu tukumbuke tuliumbwa na Mungu, kamwe tusimdhihaki kama Meko ambaye alikuwa kila leo annasema atakuwa kuranja wa malaika.

Karma is a bitch and is real
 
Kuna mtumishi alimpa siku 3 lugola afute hiyo kauli laa sivyo atasahaulika kwenye siasa za Tz!
Hivi lugola yupo popote kweli? Au yametimia?
 
Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli.

Sote tunamlaumu Kangi kwa kuongea kitu cha kijinga, lakini ki ulimwengu wa Roho, kila neno litamkwalo linabeba maono yanayokusudiwa.

Sote tunajua na tumesoma katika vitabu vitakatifu, safari ya Yesu hapa duniani. Namna maisha ya Yesu yalivokatizwa kwa mateso makali.

Lakini pia, miongoni mwa wanafunzi wa Yesu kulikuwepo na msaliti (YUDA) ambaye katika umbo la nje ndiye aliyefanikishwa kukamatwa kwa Yesu na kupelekea mateso yale.

Nadhani Kangi aliongea kwa utani, ila kunaweza kuwa kuna ukweli kwamba Magufuli amezungukwa na watu mithili ya YUDA ambao kwa namna moja ama nyingine ndio wafanikishi wa mwisho mchungu wa utawala wake. Sote tumeona, YUDA alivokuwa mtumishi mwema kwa Yesu hapo mwanzo, lakini wema wake ule ule ulijeuka baadae na kuwa usaliti mkubwa kwenye historia ya vitabu vya dini.

Kama ni kitu kingepaswa kumpa Magufuli mawazo ya kufikiri, basi nadhani hili swala la yeye kufananishwa na Yesu itabidi liwe la kwanza kwa yeye kulifikiria kiroho zaidi.

Ukichunguza vizuri kwa makini, watu mithili ya Spika Job Ndugai ambao wanasahau mpaka majukumu yao na kuanza kupiga tarumbeta hadharani kutaka Rais aongezewe muda wa kutawala, inakupa taswira halisi ya wenye mioyo ya kina YUDA ndani ya utawala wa Magufuli

Kwa tafsiri nyingine watu mithili ya Job Ndugai, Kangi Logala,... na wengine mithili yao, ndio wanajeuka YUDA taratibu mda unavozidi kwenda.
Jamani

JAMANI WENGINE NYINYI NI MANABI SEMA MKO USWAHILINI HATUWEZI KUWATOFAUTISHA NA SISI HONGERA SANA MDAU MAONO YAKO YALITIMIA POMPEO HATUKO NAE KITAMBO SANA
 
Back
Top Bottom