Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Paza sauti wakusikie...Wamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.
Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.
Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄 za kung"ara na kumetameta. Wanataka mioyo ishtuke. Wanataka wasikie miluzi na sauti za psiii psiii!!
Hawasikii...wanasema ni lazima tuwapende..tuwatake ..na kila wanachosema tuwakubalie...
Haitoshi
watajipodoa lakini hawata kodolewa macho ng'oo na mianaume kamiliWamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.
Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.
Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄 za kung"ara na kumetameta. Wanataka mioyo ishtuke. Wanataka wasikie miluzi na sauti za psiii psiii!!
Hawasikii...wanasema ni lazima tuwapende..tuwatake ..na kila wanachosema tuwakubalie...
Haitoshi
Wamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.
Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.
Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄 za kung"ara na kumetameta. Wanataka mioyo ishtuke. Wanataka wasikie miluzi na sauti za psiii psiii!!
Hawasikii...wanasema ni lazima tuwapende..tuwatake ..na kila wanachosema tuwakubalie...
Haitoshi
mbona unawageuka wenzako na kuanza kuwasigina?watajipodoa lakini hawata kodolewa macho ng'oo na mianaume kamili
Hajaelewa huyo😀mbona unawageuka wenzako na kuanza kuwasigina?
🤣🤣🤣🤣Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu
Mtumwa huyombona unawageuka wenzako na kuanza kuwasigina?
Nakuona msafisha shombo wa maccmWakati wakiwa wanatembea singda dodoma, nyie watazamaji mlikuwa mnawasindikiza kwa mziki wa twist uliokuwa unaimbwa kupitia santuri ya visahani
Wakaanza kujipodoa angalau mkahama nao mkaanza kutumia kanda/kaseti
Wameanza kunyanyua vidole, hamkuamka mapema mkaendelea kutumia kaset badala ya cd
Wakatoa sauti nzur na kubana pua, bado nyie mnatumia kaseti badala ya flash kwa sasa
Mnataka kuruka kutoka kutumia kaseti hadi flash, kwa nini mnaruka hatua ya kutumia cd?
Sasa hv wanaimba singeli na mziki huo unalindwa na mabaunsa, ukileta ***** kwenye singelh unakaziwa jicho.
Punguzeni matege mlio nayo na nyie mtatembea singida dodoma
Ondoeni makengeza machoni mwenu, hapo na nyie mtalembua macho
Ondoeni kamasi puani mwenu, nanyi mtazibana vizuri.
Rudini mtafute ile cd mlioitupa huko mbali ikaokotwa na wengine.
watajipodoa lakini hawata kodolewa macho ng'oo na mianaume kamili
Utapokelewa nyumbu utakavyokujaNakuona msafisha shombo wa maccm
Hakikisha matapishi na vinyesi vya mabos zako inasafisha vena ili ulipwe chawa mkubwa wewe
Tangu lini nitishike na mijinga iliyolundikana hapo ufipaUtapokelewa nyumbu utakavyokuja
Akili yako fupiiii! Hujui hata kinasemwa nini hapa.watajipodoa lakini hawata kodolewa macho ng'oo na mianaume kamili