Swali Fyatu: Mbona kama wanajitahidi mno Kujipodoa?

Wamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.

Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.

Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄 za kung"ara na kumetameta. Wanataka mioyo ishtuke. Wanataka wasikie miluzi na sauti za psiii psiii!!

Hawasikii...wanasema ni lazima tuwapende..tuwatake ..na kila wanachosema tuwakubalie...

Haitoshi
Siku zote mwanamke mzr naihitaji kujipodoa, kujiremba, Shanga, bangili au kutengeneza body yake (
Wamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.

Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.

Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄

Wamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.

Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.

Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄 za kung"ara na kumetameta. Wanataka mioyo ishtuke. Wanataka wasikie miluzi na sauti za psiii psiii!!

Hawasikii...wanasema ni lazima tuwapende..tuwatake ..na kila wanachosema tuwakubalie...

Haitoshi
Mwanamke mzr nahitaji mapambo ukiona anatumia mda mwingi kujiremba.. ujue hyo ni mchafu
 
Tatizo wanatumia vipodozi vya bei rahisi mno, na wapodoaji wenyewe kina tlaahtlaah na lucas mwashambwa hawajui mbinu mpya za kuwarembesha, ukizingatia warembo wenyewe wa miaka 50.
 
Wamekuwa wakitembea kwa mikogo..wakienda wanajitingisha kwa mtindo wa Singida Dodoma. Wanajua tunawaona na tunajua tunawaona.

Pamoja na mwendo wao wa maringo wamejivisha mavazi ya mitego, kama wawindaji. Sauti zao wanabana na macho wanarembua na vidole waneinua juu. Lakini haitoshi.

Wameongoza urembo na mapambo...Helena na banging na lipstick 💄 za kung"ara na kumetameta. Wanataka mioyo ishtuke. Wanataka wasikie miluzi na sauti za psiii psiii!!

Hawasikii...wanasema ni lazima tuwapende..tuwatake ..na kila wanachosema tuwakubalie...

Haitoshi
We nae zee Zima unaandika ujinga
 
Mwanamke ukituonyesha mwili wako,iliiweje tukupende au nini achen ujinga.mwanamke ni kiumbe kitakatifu hakifai kuharib utakatif wake.Anafaa aonekane uso tuh,kaen kama mabint wa kiislamu
 
Kumbe uhusiano wa machawa na kuwa tabula rasa ni 100%

Machawa ya Lumumba yote yaliyotoa maoni hapa kwenye huu uzi yameshindwa kusoma kwa ufahamu na kufanya rejea ya lile somo la "figures of speech" yote yametoka kapa yameishia kujibu tofauti bila kuelewa nini kinaongelewa hapa.
 
Hapo kwenye lipstick 💄.. za "kung'ara na kumetameta" nimecheka sio poa. Anyway, MMM is back 😊
 
Back
Top Bottom