Swali Fyatu: Mbona kama wanajitahidi mno Kujipodoa?

Siku zote mwanamke mzr naihitaji kujipodoa, kujiremba, Shanga, bangili au kutengeneza body yake (

Mwanamke mzr nahitaji mapambo ukiona anatumia mda mwingi kujiremba.. ujue hyo ni mchafu
 
Tatizo wanatumia vipodozi vya bei rahisi mno, na wapodoaji wenyewe kina tlaahtlaah na lucas mwashambwa hawajui mbinu mpya za kuwarembesha, ukizingatia warembo wenyewe wa miaka 50.
 
We nae zee Zima unaandika ujinga
 
Mwanamke ukituonyesha mwili wako,iliiweje tukupende au nini achen ujinga.mwanamke ni kiumbe kitakatifu hakifai kuharib utakatif wake.Anafaa aonekane uso tuh,kaen kama mabint wa kiislamu
 
Kumbe uhusiano wa machawa na kuwa tabula rasa ni 100%

Machawa ya Lumumba yote yaliyotoa maoni hapa kwenye huu uzi yameshindwa kusoma kwa ufahamu na kufanya rejea ya lile somo la "figures of speech" yote yametoka kapa yameishia kujibu tofauti bila kuelewa nini kinaongelewa hapa.
 
Hapo kwenye lipstick 💄.. za "kung'ara na kumetameta" nimecheka sio poa. Anyway, MMM is back 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…