Swali Fyatu: Mbona kama wanajitahidi mno Kujipodoa?


Umenikumbusha ile story yako ya Kasungura ka Lowasa (RIP). Kwa mara ya kwa serikali ilinunua ukurasa mzima kukukabiri. Ingekuwa ni enzi hizi akina Hamza Johari wangetangaza kama adui.
 
Kuna talaka yako uifate chap ๐Ÿ˜น

Yaani toka valentines ndo unaleta komwe lako leo? Wamekupuna pesa zote kwangu unaleta blah blah ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hahaha
Una vimaneno! Unavitoleaga wapi kwani?

Chino bila wewe ni kama kariakoo bila mawinga.
 
Sidanganyiki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Toka lini nikapindua kwako mtoto mzuri!!!

Hapa penyewe nipo pori nimelala juu ya kichanja kwenye mti uku picha Yako nimeikumbatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ