Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kama taifa tuna hasara kubwa mnoHuyu mama pale juu ni kituko hakika
ITEL TV.Na. M. M. Mwanakiji
Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.
Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0
Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0
Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)
Ila sasa duh...
..
Kwamba akimaliza kuandika aangalie na katuni kwenye Itel tv?ITEL TV.
inch 32 flameless ya kawaida =170,000/=
Inch 32double glass ya kawaida =175,000/=
Inch 24 double glass ya kawaida =110,000/=
Inch 43 smart 430,000/=
Sasa hivi wameshindwa la kufanya. Walimponda aliyeondoka. Wakapiga vigelegele sana. Sasa wamebaki wanashangaa na kulalamaNa. M. M. Mwanakiji
Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.
Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0
Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0
Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)
Ila sasa duh...
..
Labda itakuwa 4.0.Na. M. M. Mwanakiji

Wadini ni nyie mnayemsakama Samia ilhali wakati wa Magufuli mlifyata mikia yenu.Ngoja wadini waje.
Mkuu Mwanakijiji yeyote anayeingia kwenye siasa, tusidanganyike kuwa agenda yake huwa uwakilishi, LA HASHA. Kuingia siasa, nia kuu, ni madaraka yatokanayo na vyeo vya kisiasa (political power). Na hutumia madaraka hayo kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile.Na. M. M. Mwanakiji
Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.
Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0
Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0
Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)
Ila sasa duh...
..
wazee wa mama anaupiga mwingi kwenye nini kujenga EP4RNgoja wadini waje.
Kwamba hatujui tulikuwa tunamkataa dhalimu kwa kipi, na sasa tunamkosoa Samia kwa kipi? Ni wapi ukatili wa dhalimu ni mbadala wa makosa ya Samia sasa?Sasa hivi wameshindwa la kufanya. Walimponda aliyeondoka. Wakapiga vigelegele sana. Sasa wamebaki wanashangaa na kulalama
Mkuu Mwanakijiji yeyote anayeingia kwenye siasa, tusidanganyike kuwa agenda yake huwa uwakilishi, LA HASHA. Kuingia siasa, nia kuu, ni madaraka yatokanayo na vyeo vya kisiasa (political power). Na hutumia madaraka hayo kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile.
Madaraka hayo, ya kisiasa, huambatana na marupurupu kadhaa ambayo huyapata kwa kuwa waandaaji na wenye maamuzi ya kuyaidhinisha ni wao wenyewe.
Madaraka hayo pia yana mamlaka yenye nguvu za kisheria. Sheria hizo hutungwa na hao hao wanasiasa. Ila husahau kuwa Cheo ni dhamana.
Hivyo basi, matukio yote hayo ya ufisadi, ni moja ya malengo ya mtu kuingia katika siasa apate madaraka ya kufanya maamuzi yenye faida kwake binafsi.
KAZI IENDELEE
wakati mwingine Tindo unasema ukweli wa chanzo au mzizi wa matatizo ya Tanzania, halafu tena unarudi kudiscuss matokeo ya chanzo cha tatizo..chanzo cha matatizo tuliyo nayo ni TISS, hawa wastaafu waliobaki wamewekeza TISS ili walinde maslahi yao..na issue ya TISS ni ya wananchi, ukiona kiongozi mliyemchagua analalamika kuchomekewa(Rais awamu ya 5 aliwahi kulalamika kuchomekewa, hata huyu wa sasa) kumbe tatizo si yeye ni kama wapo watu juu yake..ni nani hao, kama rais hawezi kudeal nao, kumlalamikia ni sawa na kupoteza muda, jibu ni kudeal na hao walio juu yake, na hii inahitaji wananchi wenyewe!Kwamba hatujui tulikuwa tunamkataa dhalimu kwa kipi, na sasa tunamkosoa Samia kwa kipi? Ni wapi ukatili wa dhalimu ni mbadala wa makosa ya Samia sasa?