Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Na. M. M. Mwanakiji

Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.

Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0

Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0

Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)

Ila sasa duh...
..
 
Nakushauri mada zako muhimu uache kutumia neno "fyatu". linafanya mada za msingi zisichukuliwe serious.

Ufisadi wa Magufuli ni mwingi. Hata bunge hili la sasa ambalo ni feki ni ufisadi wake wa mamlaka.

Kuhusu ufisadi wa kifedaha, rejea ripoti za CAG juu ya upigaj mkubwai ktk miradi mikubwa kipindi cha JPM including SGR.
 
Na. M. M. Mwanakiji

Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.

Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0

Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0

Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)

Ila sasa duh...
..
ITEL TV.

inch 32 flameless ya kawaida =170,000/=

Inch 32double glass ya kawaida =175,000/=

Inch 24 double glass ya kawaida =110,000/=

Inch 43 smart 430,000/=
 
Na. M. M. Mwanakiji

Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.

Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0

Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0

Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)

Ila sasa duh...
..
Sasa hivi wameshindwa la kufanya. Walimponda aliyeondoka. Wakapiga vigelegele sana. Sasa wamebaki wanashangaa na kulalama
 
Na. M. M. Mwanakiji

Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.

Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0

Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0

Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)

Ila sasa duh...
..
Labda itakuwa 4.0.

Unagikiri Badhite alipokuwa anatamba akiendesha VX pembeni kuna maburungutu ya pesa, unafikiri alikuwa anazitoa wapi.

Wakati 1.5 Trillion zimepotea wanatudanganya Bungeni kuwa 280 Billion zilipelekwa Zanzibar... Wewe uliwaamini!!?

Yah right. Naunga hoja ila sahihisha. Hii itakuwa ni 4.0.
 
Na. M. M. Mwanakiji

Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.

Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0

Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0

Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)

Ila sasa duh...
..
Mkuu Mwanakijiji yeyote anayeingia kwenye siasa, tusidanganyike kuwa agenda yake huwa uwakilishi, LA HASHA. Kuingia siasa, nia kuu, ni madaraka yatokanayo na vyeo vya kisiasa (political power). Na hutumia madaraka hayo kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile.

Madaraka hayo, ya kisiasa, huambatana na marupurupu kadhaa ambayo huyapata kwa kuwa waandaaji na wenye maamuzi ya kuyaidhinisha ni wao wenyewe.

Madaraka hayo pia yana mamlaka yenye nguvu za kisheria. Sheria hizo hutungwa na hao hao wanasiasa. Ila husahau kuwa Cheo ni dhamana.

Hivyo basi, matukio yote hayo ya ufisadi, ni moja ya malengo ya mtu kuingia katika siasa apate madaraka ya kufanya maamuzi yenye faida kwake binafsi.

KAZI IENDELEE
 
Mhhh!
 
Samia amefeli, kurudisha imani ya anaowaongoza kutokea hapa ana kazi kubwa sana, na ngumu ya kufanya.

Naona kwake njia rahisi itakuwa ni kujiachia mambo yaende, ambapo kwa kufanya hivyo ndio atajikuta anazidi kuharibu zaidi.
 
Ufyatu mwingine ni kujitoa ufahamu mangapi yaliweza kuibuliwa, kukabiliwa kipindi hicho kwa uwepo wa taasisi huru kama vyombo vya habari, vyama vya siasa, na Bunge wakilishi. Sio coincidence kwamba kipindi hiki kuna uthubutu wa kupeleka bungeni unayoyaita 3.0. Lakini Kwa kuwa tumeamua kumfanya messiah, tuendelee kujipofusha.
 
Kwamba hatujui tulikuwa tunamkataa dhalimu kwa kipi, na sasa tunamkosoa Samia kwa kipi? Ni wapi ukatili wa dhalimu ni mbadala wa makosa ya Samia sasa?
wakati mwingine Tindo unasema ukweli wa chanzo au mzizi wa matatizo ya Tanzania, halafu tena unarudi kudiscuss matokeo ya chanzo cha tatizo..chanzo cha matatizo tuliyo nayo ni TISS, hawa wastaafu waliobaki wamewekeza TISS ili walinde maslahi yao..na issue ya TISS ni ya wananchi, ukiona kiongozi mliyemchagua analalamika kuchomekewa(Rais awamu ya 5 aliwahi kulalamika kuchomekewa, hata huyu wa sasa) kumbe tatizo si yeye ni kama wapo watu juu yake..ni nani hao, kama rais hawezi kudeal nao, kumlalamikia ni sawa na kupoteza muda, jibu ni kudeal na hao walio juu yake, na hii inahitaji wananchi wenyewe!
 
Back
Top Bottom