Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

Hahaha, Sio mkojo huo mkuu nazungumzia mkojo mzito
 
1.Una mpango gani na mimì?
2. Upo wapi muda huu na unafanyä nini
3 umekula?
 
Mimi sipendi mtu akiniuliza unamiaka mingapi?
Ulikuwa na wanaume wangapi na pia sipendi mtu anidadisi maisha yangu kiufupi ila mimi napenda kukuliza
 
Back
Top Bottom