HABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1: Sipendi mtu aniulize personal issue zangu huwa na change ghafla.
2: Kuniambia saizi naona una pesa huwa nachukia sana
3: Hivi unakunywaga pombe? (na ananiona niko bar)
4: Mademu wako hawajambo (wakati unakuta niko single)
5: Wewe kabila gani?
6:Utaoa lini?
HEBU FUNGUKA NA WEWE.