Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

HABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1: Sipendi mtu aniulize personal issue zangu huwa na change ghafla.
2: Kuniambia saizi naona una pesa huwa nachukia sana
3: Hivi unakunywaga pombe? (na ananiona niko bar)
4: Mademu wako hawajambo (wakati unakuta niko single)
5: Wewe kabila gani?
HEBU FUNGUKA NA WEWE.
Sikuhizi unafanya kazi wapi
 
Sipendi kuulizwa na mchepuko ni lini nomefanya na mke wangu au kuniuliza udhaifu wa wife kitandani
 
Una mishe gani sikuhizi? Umeoa/Umeolewa? Kama hapana aulize tena kwanini? Au unasuburi nini? [emoji35]
 
Back
Top Bottom