Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

Ukifanya kitu ukakosea, mzee wangu alikua anauliza swal baya sana
"Hiv hizo ndio akil mnazofunzwa shulen au ni zako binafsi?"
 
Kabila, dini, kazi yangu, miaka yangu, mahali nilipozalwa,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
HABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1: Sipendi mtu aniulize personal issue zangu huwa na change ghafla.
2: Kuniambia saizi naona una pesa huwa nachukia sana
3: Hivi unakunywaga pombe? (na ananiona niko bar)
4: Mademu wako hawajambo (wakati unakuta niko single)
5: Wewe kabila gani?
HEBU FUNGUKA NA WEWE.
Sipendi kuulizwa kama nina elfu ya karibu
 
Back
Top Bottom