Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

tena nachukia nikiulizwa na wanawake
Sasa hao dawa yao ndogo rafik, yaan kabla hajakuulizia we unamchana kabisa mm nina miaka 22...[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Thn unabunda kidogo
 
HABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1:sipendi mtu aniulize personal issue zangu huwa na change ghafla.
2:kuniambia saizi naona una pesa huwa nachukia sana
3:manzi anaiambie kuwa unaringa/unadharau huwa nakuwa siko poa kabisa
4:mademu wako hawajambo (wakati unakuta niko single)
5: wewe kabila gani?
HEBU FUNGUKA NA WEWE.
Hiyo namba tatu nayo ni swali?
 
asee umekua.??...unanenepa maisha mazuri eeh.??...uko wapi sikuhizi....?? unakaa kwenu au umepanga...??
 
Hahaa ... so sijui huwa wanataka umjibu nini !? .. if ukimwambia nataka kukuchezea tu .. si - ndio tayari itakuwa umemkosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasa ndugu yangu.
Unajikuta swali ni gumu halafu utamu pia unautaka yaani inabidi tu tuseme uongo ingawa sisi wengine hua hatupendi kudanganya.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom