Kichpox
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 361
- 397
HahahahhahahaUna umri gani...sipendi hili swali
Hapo basi tena, utakua unataman ujana ila ndo hvo tena[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahhahahaUna umri gani...sipendi hili swali
tena nachukia nikiulizwa na wanawakeHahahahhahaha
Hapo basi tena, utakua unataman ujana ila ndo hvo tena[emoji23][emoji23]
Sasa hao dawa yao ndogo rafik, yaan kabla hajakuulizia we unamchana kabisa mm nina miaka 22...[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]tena nachukia nikiulizwa na wanawake
Hiyo namba tatu nayo ni swali?HABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1:sipendi mtu aniulize personal issue zangu huwa na change ghafla.
2:kuniambia saizi naona una pesa huwa nachukia sana
3:manzi anaiambie kuwa unaringa/unadharau huwa nakuwa siko poa kabisa
4:mademu wako hawajambo (wakati unakuta niko single)
5: wewe kabila gani?
HEBU FUNGUKA NA WEWE.
Basi kabila lako la ajabu na dini yako ni mwisilamuKabila & Dini
Huwa sipendi kuulizwa kabila na dini
Hahaa ... so sijui huwa wanataka umjibu nini !? .. if ukimwambia nataka kukuchezea tu .. si - ndio tayari itakuwa umemkosaHivi ni kweli unanipenda au unataka kunichezea tu?
Maendeleo hayana chama
Ndio hapo sasa ndugu yangu.Hahaa ... so sijui huwa wanataka umjibu nini !? .. if ukimwambia nataka kukuchezea tu .. si - ndio tayari itakuwa umemkosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeoa?Una mke?
Mi pia sipendi hilo swaliuko wapi siku hizi?
Kaswali haka huwa kanakera sana, hapo anataka ajue unafanya kazi wapi.