Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
“Mbona hupokei Simu?
Hili swali linakera sana
mimi mbona napenda kutaja makabila yangu tena kifua mbele[emoji3].. japo sijui lugha hata moja ila najiskia proud kuwa mmoja wa kabila/makabila yanguKatika mazingira yetu tunayoishi au mazingira ya shughuli zetu za kila siku tunakutana watu tofauti ambao wametoka sehemu mbalimbali iwe mikoani au nje ya nchi ambao wamekulia mazingira tofauti.
Kuna watu wanapenda kudadisi vitu ambavyo hawavihitaji au hakuna faida yeyote wanapata ila basi tu na mwengine anakuuliza apate sababu ya kukudharau au ubaguzi.
1.Mimi sipendi mtu aniulize wewe kabila gani. Siku hizi wamebadilisha style wanakuuliza mtu wa wapi?
2.Umeoa hata miezi 3 haijaisha mtu anauliza vipi ndoa ishajibu?
Hayo maswali mi sielewi mtu anauliza ili iweje au anafaidika nini akijua hayo!
Tushare pamoja maswali ya kipumbavu kama haya.
Mzee wangu huwezi kukaa nae ikapita kutwa asikuulize hivi una akili kweli.. naumiaga sanaHivi una akili kweli?
Umeulizwaa!mimi mbona napenda kutaja makabila yangu tena kifua mbele[emoji3].. japo sijui lugha hata moja ila najiskia proud kuwa mmoja wa kabila/makabila yangu
Kabila lisikupe shida wewe kama mwema basi inatosha kabila hali effect chochote maishani labda kwa wale wenye ukabila
Hahahaaa!Ha ha ha hiyo ya pili nimekutana nayo kwa demu wa cbe.. Ana njaa balaa
Una miaka mingapi?
Unajihusisha na nin???
Kumbe unakunywa pombe? Huku na glass ya kileo .
Ukiwa jobless halafu mtu akuulize una ishu gani?