Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

Katika mazingira yetu tunayoishi au mazingira ya shughuli zetu za kila siku tunakutana watu tofauti ambao wametoka sehemu mbalimbali iwe mikoani au nje ya nchi ambao wamekulia mazingira tofauti.

Kuna watu wanapenda kudadisi vitu ambavyo hawavihitaji au hakuna faida yeyote wanapata ila basi tu na mwengine anakuuliza apate sababu ya kukudharau au ubaguzi.

1.Mimi sipendi mtu aniulize wewe kabila gani. Siku hizi wamebadilisha style wanakuuliza mtu wa wapi?

2.Umeoa hata miezi 3 haijaisha mtu anauliza vipi ndoa ishajibu?

Hayo maswali mi sielewi mtu anauliza ili iweje au anafaidika nini akijua hayo!

Tushare pamoja maswali ya kipumbavu kama haya.
mimi mbona napenda kutaja makabila yangu tena kifua mbele[emoji3].. japo sijui lugha hata moja ila najiskia proud kuwa mmoja wa kabila/makabila yangu
Kabila lisikupe shida wewe kama mwema basi inatosha kabila hali effect chochote maishani labda kwa wale wenye ukabila
 
Umeulizwaa!
 
Back
Top Bottom